Google PlusRSS FeedEmail
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2013, kwa Wananchi, Jana Jumatatu, tarehe 31 Desemba, 2012, Ikulu jijini Dar es Salaam. Kuisoma hotuba hiyo BOFYA HAPA TU

HOTUBA YA MWAKA MPYA YA RAIS JAKAYA KIKWETE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba ya kuukaribisha mwaka mpya wa 2013, kwa Wananchi, Jana Ju... [Read More]

RAIS KIKWETE APONGEZWA KWA MAFANIKIO YA SENSA YA WATU NA MAKAZI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahim Lipumba leo Desemba 31, 2012 wakati wa kupiga picha baada ya ku... [Read More]

RAIS KIKWETE AONGOZA MAZISHI YA MZEE MOHAMED ABOUD

Rais Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib  Bilali, Makamu wa Pili wa Rais Wa Zanzibar Balozi Seif Iddi, Rais Mstaafu A... [Read More]

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AMJULIA HALI PADRI AMBROSE MKENDA ALIYELAZWA MUHIMBILI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimsalimia Padri Ambrose Mkenda, wa Kanisa Katoliki Parokia... [Read More]

RAIS KIKWETE AMJULIA HALI PADRI AMBROS MKENDA ALIYEPIGWA RISASI ZANZIBAR

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimjulia hali  Padri Ambros Mkenda wa Kanisa Katoliki la Mpendae mjini Zanzibar anayeuguza majeraha katika taas... [Read More]

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu (kushoto), Haruna Masebu akielezea utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano wa pamoja na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF) wa kubadilishana mawazo, Dar es Salaam . Kulia ni Mwenyekiti wa TEF, Absalom Kibanda ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya New Habari. (PICHA ZOTE NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG)

Mhariri wa habari wa gazeti la Daily News, Leonald Mwakalebela akiuliza swali wakati wa mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari wa kubadilishana mawazo na uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dar es Salaam
Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu (kulia) akijadiliana jambo na maofisa wake muda mfupi kabla ya mkutano na Jukwaa la Wahariri kuanza katika Hoteli ya JB Belmonte Dar es Salaam.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), ABsalom Kibanda akizungumza na  Haruna Masebu Bosi wa Ewura.
Mkurugenzi Mkuu wa EWQURA, Haruna Masebu akiwakaribishwa wahariri kwenye mkutano huo
Mhariri Mkuu wa gazeti la Habari Leo, Joseph Kulangwa akiuliza swali kuhusu tatizo la maji wakati wa mkutano wa pamoja kati ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) na Jukwaa la Wahariri Tanzania,  jijini Dar es Salaam. Kulia ni Tumiani Abdalah wa Daily News.
Mkurugenzi wa Maji na Maji Taka wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura), Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki (kushoto) akielezea kuhusu mfumo wa maji safi na taka wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Mkurugenzi wa Umeme wa mamlaka hiyo, Mhandisi Anastas Mbawala na Mkurugenzi wa Uchumi wa Ewura, Felix Ngamlagosi.
Meneja Ufundi wa Petroli wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA, Gerald Maganga akifafanua jambo kuhusu masuala ya mafuta wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi wa Gesi Asilia wa mamlka hiyo, Mhandisi Charles Omujuni.
Mkurugenzi wa Uchumi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA, Felix Ngamlagosi akifafanua jambo kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi wa Maji na Maji Taka wa EWURA, Mhandisi Mutaekulwa Mutegeki.
Mkurugenzi wa Sheria wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA, Miriam Mahanyu (kushoto) akifafanua jambo kuhusu utendaji wa mamlaka hiyo wakati wa mkutano na wajumbe wa Jukwaa la Wahariri (TEF), wa kubadilisha na mawazo hivi karibuni jijini Dar es Salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu.
Mhariri wa Habari wa gazeti la Habari Leo, Mgaya Kingoba akichangia hoja wakati wa mkutano huo. Kutoka kulia ni Joyce Shebe wa ITV na Mhariri wa Redio Uhuru, Godfrey Chongolo.
Mtangazaji wa Star Tv, Tom Chilala akiuliza swali kwa uongozi wa Ewura. Kushoto ni Mhariri wa gazeti la Dira ya Mtanzania, Abraham Ojuku.
Mhariri wa Redio Uhuru, Godfrey Chongolo akiomba muongozo katika mkutano huo. Kulia ni Joyce Shebe wa ITV.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano wa Ewura, Titus Kaguo akifafanua jambo wakati wa mkutano huo
Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Nevile Meena akizungumza katika mkutano huo. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Ewura, Haruna Masebu.
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Absalom Kibanda (kulia) akiongoza mkutano wa wahariri wa kubadilishana mawazo na uongozi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Dar es Salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Haruna Masebu.

MKUTANO WA EWURA NA JUKWAA LA WAHARIRI WAFANYIKA DAR

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Haruna Masebu (kushoto), Haruna Masebu akielezea utendaji wa m... [Read More]

*YAWATAKA WATANZANIA HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA
*YAWATAKA KUWA NA KIASI KATIKA SHAMRASHAMRA
* ASEMA USHINDI WA LEMA, NI ISHARA YA UTAWALA BORA WA SERIKALI YA CCM
NA BASHIR NKOROMO,  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, baada ya kuutumia mwaka 2012 kupanga safu ya uongozi katika chaguzi za ngazi zote zilizomalizika hivi karibuni, mwaka ujao wa 2013 utakuwa wa kuchapa zaidi.                                                                              Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mwigulu Nchemba (pichani) alisema, kazi itakayofanywa na CCM katika mwaka huo, ni pamoja na kukagua upya utekelezaji wa ilani ya CCM na kuhakikisha  zile ambazo hazikamilika zinamalizwa.
     "Mwaka huu wa 2012 unaomalizika tuliutumia zaidi kujipanga katika uchaguzi wa ngazi zote ili kupata safu nzuri itakayoisimamia serikali kutekeleza ilani ya CCM, sasa mwaka mpya wa 2013 utakuwa wa kazi zaidi za kusimamia serikali ili kuhakikisha mwaka 2015 mpiganaji wa CCM tutakayemteua kugombea urais  anapita kiulaini", alisema Mwigulu.
      Akizungumzia tukio la Mbunge wa Arusha Godless Lema kushinda rufani yake dhidi ya hukumu iliyomvua ubunge Aprili mwaka huu, Mwigulu alisema, ushindi huo ni ushahidi kwamba serikali ya CCM  inaongoza kwa misingi ya utawala bora ambapo kila anayestahili haki anapata.
      "Ushindi huu wa Lema, siyo kwamba anaakili sana au chama chake kina maarifa sana yaliyosababisha ushindi, ila ni kutokana na serikali ya CCM iliyopo madarakani kuheshimu  na kujali haki na kwa kweli natumia fursa hii kuipongeza Serikali kwa kuthamini na kusimamia haki wakati wote.. Ninyi si mnajua katika nchi zisizo na utawala bora jinsi ambavyo mambo huwa kwenye kesi kama hizi. lakini hapa Tanzania ni tofauti kabisa", alisema, Mwigulu.
    Aliwashangaa Chadema akisema,  "Hawa ni watu wa aina yao, waliposhindwa katika kesi Arusha walisema Ikulu imeingilia na majaji hawajui kiingereza.. sasa leo wameshinda wanafurahi na kuona kwamba sasa majaji wanajua kiingereza na hawakuigusa Ikulu kwamba imeingilia, maana pale ilipotolewa hukumu umbali wake ni hatua chache na Ofisi ya Ikulu kuliko Arusha".
    Mwigulu alitumia fursa hiyo kuwatakia heri Watanzania kwa sikukuu za Krismas na mwaka mpya na kuwataka kuzitumia sikukuu hizo kwa makini na kwa kiasi ili zisiwe chanzo cha matatizo kwao badala ya furaha.
     "Chama Cha Mapinduzi kinawatakieni sikukuu njema za Krismas na mwaka mpya, lakini tunawaomba msherehekee kwa kiasi huku mkichunga usalama wenu na mali zetu", alisema Mwigulu.

CCM: 2013 KUWA MWAKA WA KUCHAPAKAZI TU

*YAWATAKA WATANZANIA HERI YA KRISMAS NA MWAKA MPYA *YAWATAKA KUWA NA KIASI KATIKA SHAMRASHAMRA * ASEMA USHINDI WA LEMA, NI ISHARA YA UTAWALA... [Read More]

RAIS KIKWETE APONGEZWA NA WASANII WAKONGWE KWA KUWAJALI

Rais Jakaya Mrisho Kikwete leo Desemba 21, 2012 amepokea ujumbe wa wasanii wakongwe wa muziki wa dansi pamoja na filamu uliomtembelea Ikulu ... [Read More]

MAKAMU WA RAIS DKT. MOHAMMED GHALIB BILAL,ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA ALIYEKUWA MBUNGE WA TABORA MJNI SIRAJU KABOYONGA

Makamu wa Rais Dk. Mohammed Galib Bilal, akisaini katika kitabu cha maombolezo ya kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Tabora mjini,Siraju Kaboyon... [Read More]

RAIS KIKWETE AKABIDHIWA HATI YA BIMA YAKE YA MAISHA LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea kitabu cha kumbukumbu ya miaka 50 ya   Shirika la Bima la Taifa toka kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wake... [Read More]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais), Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband (kulia kwake), Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, MheMahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii baada ya mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea jezi toka kwa mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan wakiangalia  baada ya  mkutano wa  na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short huku Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband na Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan Ikulu jijijni Dar es salam leo.


Rais Jakaya Mrisho Kikwete na  Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short, Makamu mwenyekiti wa Klabu hiyo Bw. David Milliband, Mkurugenzi wa Masoko wa klabu hiyo Bw. John Farnan, Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Kagasheki, Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dr Fenella Mukangara, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa, MheMahadhi Juma Maalim pamoja na maafisa wa Bodi ya Utalii baada ya mkutano na Rais Ikulu jijijni Dar es salam leo.


RAIS KIKWETE AKUTANA NA MMILIKI NA VIONGOZI WA KLABU YA SUNDERLAND YA UINGEREZA LEO IKULU

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmiliki na Mwenyekiti wa Klabu ya Ligi Kuu ya Uingereza, Sunderland, Bw. Ellis Short (kushoto kwa Rais... [Read More]

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AWEKA JIWE LA MSINGI MRADI WA UJENZI WA JENGO LA NYUMBA ZA MAKAZI YA WATUMISHIWA UMMA ZA ADA ESTASTE DAR, LEO.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisoma hotuba yake wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la M... [Read More]

RAIS ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA TABORA MJINI

Baadhi ya Viongozi wa Serikali na wasio wakiserikali, ndugu na jamaa wakielekeamakaburini tayari kwa mazishi ya mbunge wa zamani wa Tabora m... [Read More]

RAIS KIKWETE AAGANA NA BALOZI WA UGANDA, AKUTANA NA MWAKILISHI WA BENKI YA DUNIA, AZUNGUMZA NA RAIS MSTAAFU WA KOSOVO

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uganda aliyemaliza muda wake wa kazi hapa nchini Mhe Ibrahim Mukiibi  alipofika kuaga l... [Read More]

HATIMAYE ‘AROBAINI’ YA CHADEMA YATIMIA

Na Charles Charles “KUZUNGUKA huku na huko kwa CCM ni kutuiga sisi. Tumeanza muda mrefu baada tu ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2010”, ndivyo ana... [Read More]

Top National Parks in Africa

1. Masaai Mara       -                               Kenya 2. Adringita National Park-                       Madagasca 3. Chob              ... [Read More]


The president of the United Republic of Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the Wind East Africa team on the progress made with the Singida 100MW Wind Project after receiving an update on November 4th 2011 at the Singida State House. Left to Right. Said Abdallah (Project Director), Simon Magesa [Project Coordinator-Singida] Rashid Shamte (Founder -Project Director), Mark Gammons (Project Director), Jayce Kaiser (Project coordinator) (Photo:/ State House)


In Nairobi: 

Neha Sud, IFC

Phone: +254 720 34 8499


In London:

Robert Pacquement
Aldwych International
Phone: +44 20 7776 1900
 In Dar es Salaam:
Said Abdallah
Six Telecoms Company
Phone: +255 784490990
IFC, Aldwych International, and Six Telecoms to Develop 100 MW Wind Farm in Tanzania
Dar es Salaam, December 17, 2012—IFC, a member of the World Bank Group, is partnering with Aldwych and Six Telecoms to develop a 100 MW wind farm in Singida, Tanzania, enhancing power supply reliability, decreasing the need for costly fuel imports, and helping fight climate change. 
Being developed by project company Wind East Africa, the Singida project seeks to be the country’s first successfull, independent wind energy power project. This project is a result of the government of Tanzania’s push for diverse energy sources, as drafted in its recent policy on renewable energy. 

The total project cost for the wind farm is estimated at $285 million, of which IFC, Aldwych and Six Telecoms will contribute $18 million during the development stage and $71 million in total equity.

Located 700 kilometres from Dar es Salaam, the Singida wind farm will produce power through wind turbines to help diversify Tanzania’s electricity away from hydropower. When the hydropower supply drops during times of drought, Tanzania has had to turn to costly emergency power. Wind energy is an innovative way to boost power supply, with Singida expected to add 100 MW of capacity.

Singida will also provide power at more stable cost, as tariffs for wind energy remain relatively constant as no fuel source is required. The farm will be owned by Wind East Africa and operated by a management company led by Aldwych and Six Telecoms.

 "IFC invested in Wind East Africa’s Singida farm to support a pioneering energy project that can serve as an example to the entire region," said Oumar Seydi, IFC Director for East and Southern Africa. "With growing demand for electricity in Africa’s economies, independent power projects like Singida can add much-needed capacity to the power grid. Aldwych International and Six Telecoms’ participation demonstrates how the private sector can advance government efforts to increase energy security."

Mark Gammons, Project Director for Aldwych, said, "Having been involved in the successful development of the Songas gas to electricity project, Aldwych’s senior management team has deep experience in and a strong belief in the Tanzanian market. We believe this ground-breaking project will help develop the Tanzanian power sector and also the local economy around Singida."

Rashid Shamte, Founder and Head of Group Strategy at Six Telecoms, said, "As a Tanzanian company in telecoms, we were faced with the challenge of deciding how to best diversify our portfolio.
The crippling power rationing in our country presented Six Telecoms with a great challenge in our operations, so this project was a compelling option. Six Telecoms applauds the leadership of TANESCO and the government of Tanzania for initiating the wind measurement campaign in selected areas of the country, for making the wind data available to all interested parties, and for welcoming private sector participation in the energy sector. 
We are lucky to have experienced partners such as Aldwych and IFC leading our efforts in this project."

In addition to the investment, IFC will assist in the overall project development. IFC will lend its experience and expertise to project structuring process and to ensure that the project meets the appropriate environmental and social standards.

IFC is making this investment through its InfraVentures division, which was created in 2008 to support innovative infrastructure projects. IFC InfraVentures addresses constraints to private investment in infrastructure, including the limited availability of funds and experienced professionals.

Increasing access to power is at the heart of IFC’s strategy for sub-Saharan Africa. IFC invested $1 billion in infrastructure projects in Africa in fiscal year 2012, up from $200 million five years ago.

About IFC
IFC, a member of the World Bank Group, is the largest global development institution focused exclusively on the private sector. We help developing countries achieve sustainable growth by financing investment, mobilizing capital in international financial markets, and providing advisory services to businesses and governments. In FY12, our investments reached an all-time high of more than $20 billion, leveraging the power of the private sector to create jobs, spark innovation, and tackle the world’s most pressing development challenges. For more information, visit www.ifc.org.
About Aldwych International

Aldwych is a leading developer of power projects in sub-Saharan Africa. Its founders and management between them have a long history of international power industry experience. They also have extensive operational experience, including operations in sub-Saharan Africa.
Most recently, Aldwych, together with Danish partners, financed, built and brought into commercial operation the 90MW Rabai power plant near Mombasa, Kenya, and Aldwych is now co-developing the 300MW Lake Turkana Wind Project in Northern Kenya. 
Aldwych International Ltd is a wholly owned subsidiary of Aldwych Holdings Ltd ("AHL"), and AHL’s shareholders include its majority shareholder, the Pan African Infrastructure Development Fund, based in South Africa, and Nederlandse Financierings-Maatschappij voor Ontwikkelingslanden N.V. ("FMO", the Netherlands Development Finance Company). For more information, visithttp://www.aldwych-international.com/
  
About Six Telecoms Company
Six Telecoms is an international wholesale telecommunications carrier and Value Added Services
(VAS) provider to Mobile Network Operators (MNO) & Internet Service Providers (ISP) across Tanzania, East Africa and globally.

Founded in 2004 with a focus on international voice, Six Telecoms has successfully diversified into wholesale data, mobile value added services and media services.

Six Telecoms is a wholly Tanzanian owned company. For more information, visithttp://www.6telecoms.co.tz/
Stay Connected


WORLD BANK PRESS RELEASE WIND EAST AFRICA SINGIDA WIND PROJECT

The president of the United Republic of Tanzania Dr Jakaya Mrisho Kikwete congratulates the Wind East Africa team on the progress made with ... [Read More]

IKULU YAZAWADIA WAFANYAKAZI WAKE BORA, YAPOKEA MAKOMBE YA SHIMIWI NA KUPONGEZA WANAMICHEZO WAKE

  Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akimpa zawadi Bw. Miraji Ahmed Saleh kwa kuibua mfanyakazi bora na pia mfanyakazi hodari wa  Of... [Read More]