Google PlusRSS FeedEmail
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa  TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam  Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimfariji mjane wa  marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam  Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia juzi.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiifariji familia ya marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam  Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, alifariki usiku wa kuamkia juzi.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na mtoto wa  marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam  Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.

Waziri wa Uchukuzi Dkt Harrison Mwakyembe akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu wa  TTCL Marehemu Adolar Mapunda huko Tegeta, Dar es salaam  Machi 29, 2013. Marehemu Mapunda, ambaye pia alipata kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tanzania Standard Newspapers na Bodi ya Wadhamini ya Hospitali ya Taifa ya Muhimbili.


RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHMU ADOLAR MAPUNDA

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwa Mkurugenzi Mkuu mstaafu w... [Read More]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika Anne Makinda alipowasili katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Machi 29, 2013 kuongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge na kufaikiri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Baada ya shughuli hii mwili ulisafirishwa kuelekea Chambani, Pemba, kwa maziko.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Mbunge wa Monduli Mhe Edward Lowassa na Mbunge wa Mafia Mhe Abdulkarim Shah alipowasili katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Machi 29, 2013 kuongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge na kufaikiri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Baada ya shughuli hii mwili ulisafirishwa kuelekea Chambani, Pemba, kwa maziko.


Mama Salma Kikwete akitia saini kitabu cha maombolezo  katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Machi 29, 2013 ambapo Rais Kikwete aliongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge na kufaikiri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Baada ya shughuli hii mwili ulisafirishwa kuelekea Chambani, Pemba, kwa maziko.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na viongzi wa kitaifa na wabunge katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Machi 29, 2013 ambako aliongoza waombolezaji katika kuuaga mwili wa Mbunge wa Chambani(CUF),Salim Hemed Khamis aliyeanguka ghafla jana katika Vikao vya kamati ya Bunge na kufaikiri katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Baada ya shughuli hii mwili ulisafirishwa kuelekea Chambani, Pemba, kwa maziko.

RAIS KIKWETE AONGOZA MAMIA KUUAGA MWILI WA MBUNGE WA CHAMBANI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Spika Anne Makinda alipowasili katika ukumbi wa Karimjee jijini Dar es salaam leo Machi 29, 2013 k... [Read More]

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea mwenyewe jengo lililoporomoka asubuhi saa mbili na nusu leo Machi 29, 2013 ambapo hadi Rais anafika mahali hapo saa saba kamili watu wawili wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa, wawili wakiwa mahututi. Juhudi zinaendelea kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye kifusi cha jengo hilo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri.



 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa  mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea mwenyewe jengo lililoporomoka asubuhi saa mbili na nusu leo Machi 29, 2013 ambapo hadi Rais anafika mahali hapo saa saba kamili watu wawili wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa, wawili wakiwa mahututi. Juhudi zinaendelea kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye kifusi cha jengo hilo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakisindikiwa na  Mkuu wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Bw. Suleiman Kova baada ya kutembelea eneo la  jengo lililoporomoka mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam  asubuhi saa mbili na nusu leo Machi 29, 2013 ambapo hadi Rais anafika mahali hapo saa saba kamili watu wawili wamethibitishwa kuwa wamekufa na wengine 19 kujeruhiwa, wawili wakiwa mahututi. Juhudi zinaendelea kuokoa watu wanaosadikiwa kunaswa kwenye kifusi cha jengo hilo lililokuwa limefikia ghorofa ya 15, likijengwa ubavuni mwa Msikiti wa Shia Ithnaasheri.


RAIS KIKWETE ATEMBELEA JENGO LILILOPOROMOKA DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili mtaa wa Indira Ghandi jijini Dar es salaam leo akiwa ameongozana na mkewe Mama Salma Kikwete kujionea ... [Read More]

CCM YAWATAKIA PASAKA NJEMA WATANZANIA

NDUGU KINANA DAR ES SALAAM, Tanzania Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahiman Kinana anawatakia Wakristo na watanzania wote kwa... [Read More]

RAIS KIKWETE AFIKA ENEO LA TUKIO LA KUPOROMNOKA KWA GHOROFA DAR

*ATOA TAMKO ZITO NA MAELEKEZO MAHSUSI KWA MKOA *AWAPA POLE WAFIWA NA WALIOFIKWA NA MAAFA HAYO RAIS KIKWETE IKULU, DAR ES SALAAM Rais wa Jamh... [Read More]


HABARI ZILIZOTANGAZWA HIVI PUNDE NA KITUO CHA REDIO CHA RADIO ONE CHA JIJINI DAR ES SALAAM, ZIMESEMA, WATU 60 WAMEFUNIKWA NA KIFUSI KUFUATIA JENGO LA GHOROFA 16 KUPOROMOKA LOTE ASUBUHI HII.

KWA MUJIBU WA MTANGAZAJI WA RADIO ONE, JENGO HILO LILIKUWA BADO UJENZI WAKE UNAENDELEA KATIKA MTAA WA INDIRA GANDHI KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM NA ANAELEZA KWAMBA MTAA HUO UMEFUNGWA.

AMESEMA KUFUATIA TUKIO HILO POLISI NA TAASISI NYINGINE ZA UOKOJI WAMEFIKA ENEO HILO, LAKINI AMESEMA WAOKOAJI HAWANA VIFAA VVYENYE UWEZO WA KUTOSHA KATIKA UOKOAJI ZAIDI YA KUTUMIA VIFAA DUNI KAMA KOLEO, MAJEMBE NA SULULU.

BALAAAAAA!!!!!! JENGO LA GHOROFA 16 LAPOROMO DAR

HABARI ZILIZOTANGAZWA HIVI PUNDE NA KITUO CHA REDIO CHA RADIO ONE CHA JIJINI DAR ES SALAAM, ZIMESEMA, WATU 60 WAMEFUNIKWA NA KIFUSI KUFUATIA... [Read More]

KINANA AFANYA MAZUNGUMZO NA KIONGOZI MZITO WA CHAMA CHA KIKOMUNISTI, CHINA

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akiwakatika mazungumzo na Mjumbe wa Tume ya Uongozi wa Taifa wa Chama Cha Kikomunisti cha China (... [Read More]

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri anayeshughulikia mambo ya chama katika Chama Cha Kikomunisti cha China, Wang Jiarui, alipokutana naye Machi 20, 2013, kwenye Ofisi za CPC, mjini Beijing, China na kuwa na mazungumzo naye. Nyuma ya Kinana ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Vuai Ali Vuai. (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akitazama baadhi ya malighafi, alipotembelea kampuni ya Aluminum ya China (CHINALCO), alipotembelea kiwanda hicho mjini Beijing,  Machi 20, 2013. Wapili kulia ni Rais wa Kampuni hiyo Xiong Weiping (Picha na Bashir Nkoromo).


Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akitia saini kweneye kitabu maalum cha wageni, katika kampuni ya Aluminum ya China ((CHINALCO). Kushoto ni Rais wa Kampuni hiyo, Xiong Weiping na wapili kushoto ni Katibu wa Jumuia ya Wazazi Tanzania, Khamis Suleiman Dadi. (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimpa zwadi ya kinyagoo cha Kimakonde cha aina ya 'Ujamaa', Rais wa kampuni ya Aluminum ya China (CHINALCO) kilichopo mjini Beijing, Xiong Weiping, alipotembelea kampuni hiyo na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM ambao yupo nao katika ziara ya mafunzo nchini China. (Picha na Bashir Nkoromo).

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipewa zwadi ya pambo la Kichina, na  Rais wa kampuni ya Aluminum ya China (CHINALCO) kilichopo mjini Beijing, Xiong Weiping, Kinana alipotembelea kampuni hiyo na ujumbe wa viongozi 14 wa CCM ambao yupo nao katika ziara ya mafunzo nchini China. Kulia ni Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. (Picha na Bashir Nkoromo).
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake wakiwa katika mazungumzo na uongozi wa CHINALCO, Kinana na ujumbe huo walipotembelea kampuni hiyo wakiwa katika ziara ya mafunzo Beijing, China.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akizungumza na waziri anayeshughulikia masuala ya chama wa Chama cha Kikomnisti cha China, Wang Jiarui, alipokutana naye  Machi 20, 2013, kwenye Ofisi za CPC, mjini Beijing, China. (Picha na Bashir Nkoromo).

KINANA AZUNGUMZA NA WAZIRI ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA CPC CHINA, ATEMBELEA CHINALCO LEO

KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Waziri anayeshughulikia mambo ya chama katika Chama Cha Kikomunisti cha China, Wang... [Read More]



Watafiti na wanasayansi nchini Tanzania wametakiwa kufanya tafiti za kiungunduzi ambazo zitaleta manufaa na kusaidia jamaii ya watanzania .



Hayo yamesema na leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecela(pichani juu) wakati wa semina ya siku moja ya wagunduzi mbalimbali iliyoandaliwa kwa pamoja kati ya NIMR na Shirika la Grand Challenges la nchini Canada.



Dkt. Malecela amesema umefika wakati sasa kwa wagunduzi mbalimbali wa Kitanzania kuanza kungundua njia mbalimbali za kuweza kutatua matatizo yaliyopo katika jamii hasa katika sekta ya afya.



Semina hiyo ya siku moja ilikuwa na lengo la kuhamasisha wangunduzi sekta ya afya ambapo baadhi ya wanasayansi wagunduzi kadhaa walitoa taarifa zao za awali za namna ya kukabiliana na matizo kadha hasa kwa Mama na mtoto.


Wagunduzi kadhaa waliweza kuzungumzia gunduzi zao katika semina hiyo na miongini mwa hizo ni pamoja na ile ya hali ya Utapiamlo unaofanywa na Dkt. Magreth Kagashe kutoka Taasisi ya Utafiti wa Magonjwa ya Bianadamu Ifakara ambayo inafanyika katika Vijiji vya Kilombero.



Ugunduzi mwingine ni wa namna ya kusafisha maji na kuyaweka katika hali salama kupitia njia ya Takasa maji, na kuyaweka taika hali salama nay a usafiugunduzi unaofanya na Kijakazi Mashoto na Ugunduzi mwingine ni matumizi ya Maua ya Rosella katika kukabiliana na Upungufu wa damu kwa mama na mtoto.



Dkt. Malecela amesema ya kuwa ugunduzi unaofanyika sasa na kupewa fedha na Grand Challenge ya Canada unatakiwa uwe ugunduzi ambao utaleta mabadiliko na kubadili maisha ya wananchi.



“Mara nyingi wanasayansi wamekuwa wakifanya tafiti mbalimbali na kugundua matatizo mengi katika jamii lakini mara chache watafiti hawa wametafuta suluhisho ya hayo matatizo au magonjwa katika jamii hizo ...kwahiyo hivi sasa wanasayansi wagunduzi wa kitanzania umefikia hatua ya kugundua vitu ambavyo vitasaidia jamii,” alisema Dkt.Malecela.


Aidha nae Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer alisema kuwa jumlya ya miradi 16 ya ugunduzi inayofanywa na wanasayansi wa kitanzania itapatiwa fedha kupitia taasisi hiyo.


Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya semina hiyo iliyofanyika Makao Makuu ya NIMR jijini Dar es Salaam leo.



Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecelaakipiga picha na Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer mara baada ya kuzungumza na waandishi wa habari Makao Makuu ya NIMR jijini Dar es Salaam leo.
Wanasayansi wagunduzi mbalimbali wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya wagunduzi.


Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dr. Mwele Malecela  na Afisa Mtendaji Mkuu wa Grand Challenge Canada, Peter Singer wakifuatilia kwa ukaribu mazungumzo ya Wagunduzi wa Kitanzania katika Sejmina ya siku moja iliyofanyika  NIMR jijini Dar es Salaam leo.


Mwanasayansi Mkunduzi wa kitanzania kutoka Taasisi ya utafiti wa Magonjwa Ifakara, Dkt. Magreth Kagashe akiwasilisha taarifa yake ya ugunduzi juu ya hali ya utapiamlo na namna ya kukabiliana nao katika jamii na kuokoa vifo vya watoto chini ya miaka 5 Kilombero.


Mwanasayansi Mkunduzi wa kitanzania kutoka Emmanuel Peter akiwasilisha taarifa yake ya ugunduzi juu ya matuzimi ya unga wa uzalishaji wa unga wa Maua ya Rosella katika kukabiliana na upungu wa damu kwa akina mama wajawazito na watoto.


Prof. Esther Mwaikambo ambaye ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Herbert Kairuku (HKMU) akiulizwa swali. Kulia ni Mkurugenzi wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ambaye pia ni Mtafiti Mkuu Kiongozi, Dk. Leonard Mboera kutoka Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR).
Prof. Esther Mwaikambo ambaye ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Watoto kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Herbert Kairuku (HKMU) akichangia mada.


Wanasayansi wagunduzi mbalimbali wakifuatilia kwa makini mazungumzo ya wagunduzi. Hii ni mara ya tatu sasa kwa Wagunduzi wa kitanzania kupata fedha za kuendesha kugunzi zao nah ii ndio iliyo na manufaa zaidi kuliko zote.

WAGUNDUZI GUNDUENI VITU VITAKAVYOWASAIDIA WANANCHI KATIKA JAMII: DK. MWERE

Watafiti na wanasayansi nchini Tanzania wametakiwa kufanya tafiti za kiungunduzi ambazo zitaleta manufaa na kusaidia jamaii ya watanzania .... [Read More]