Google PlusRSS FeedEmail

WAKURUGENZI WATENDAJI WA NBC NA SCB WASHIRIKI MKUTANO WA AFRICAN FIRST LADIES SUMMIT 2013 JIJINI DAR ES SALAAM

scbMizinga Melu Mkurugenzi mtendaji wa Benki ya National Bank Of Commerce (NBC) kulia akizungumza na Liz Lloyd Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Standard Chatered mara baada ya Mke wa Rais wa Marekani Mama Michelle Obama kumaliza majadiliano katika mkutano wa African First Ladies Summit 2013 unaomalizika leo jijini Dar es salaam kwenye hoteli ya Serena, Mkutano huo ulidhaminiwa na taaisis ya George W. Bush Institute ya George Bush Rais mstaafu wa Marekani, katikati ni Mwinda Kiula Mkuu wa Masoko, Mawasilianona Mahusiano ya Biashara NBC

This entry was posted in

Leave a Reply