Google PlusRSS FeedEmail

HOTUBA YA MWISHO WA MWEZI JULAI 2013, YA RAIS JAKAYA KIKWETE

Kama ulivyo utaratibu aliojiwekea wa kutoa hotuba maalum kwa wananchi, kila mwisho wa mwezi, Rais wa Tanzania, Rais Jakaya Kikwete mwishoni mwa mwezi uliopita, Julai mwaka huu, pia ametoa hutoba yenye ufafanuzi wa mambo mengi muhimu. Kama ungependa kuisoma kwa makini zaidi hotuba  hiyo kama tulivyoipata >BOFYA HAPA au tazama video ya hotuba hiyo hapa chini.

This entry was posted in

Leave a Reply