VIONGOZI WA CHAMA WANAPOKUTANA
Naibu Katibu Mkuu wa Jumuia ya Wazazi Tanzania Gelorious Luoga (kulia) akibadilishana mawazo na Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli (kushoto) na Katibu Msaidizi Mkuu, Idara ya Itikadi na Uenezi Makao Mkuu, Anamringi Macha, walipokutana leo asubuhi nje ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam. Luoga na Romuli wameteuliwa kushinka nafasi hizo katika vikao vya Kamati Kuu na NEC vilivyofanyika mjini Dodoma, hivi karibuni