NA BASHIR NKOROMO
MWENYEKITI wa CCM, Rais Jakaya Kikwete amewapa rungu wana-CCM akiwataka kuacha kujifanya wanyonge dhidi ya vitendo vya fujo ambavyo hufanyiwa na Chadema nyakati za uchaguzi.
Rais Kikwete amesema hayo leo, wakati akiongoza kikao maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM mjini Dodoma.
"Uchaguzi wa Kalenga ndiyo huo upo mbele yetu, hadi sasa hakuna tatizo lililojitokeza kama Arumeru mambo yapo shwari kabisa, lakini tujue tu kwamba pale tunaenda kushindana na watu (Chadema) ambao wao silaha yao ya kwanza ni vujo.. ninaagiza sasa lazima wana CCM kukabiliana na fujo zao. Unyonge basi.", alisema Rais Kikwete na kuongfeza;
"CCM kuendelea kujifanya wanyonge kila mara sasa basi. Haiwezekazi watu wanafanya vujo hadi kuwatoboa watu macho ninyi nmanyongea tu, hili haliwezekani. Tazama pale Ingunga mtu wenu alimwagiwa tindikali hali leo ana ulemavu wa kudumu kisa uchaguzi tu, aah haiwezekani kabisa", alisema Rais Kikwete.
Mapema Mwenyekiti wa CCM Rais Kikwete alipongeza wana CCM na viongozi wao katika Kata zote zilizofanya uchaguzi mdogo wa Udiwani na hatimaye CCM kuibuka na ushindi wa Kata 23, Chadema ikiambulia tatu na NCCR Mageuzi kimoja.
Hata hivyo Rais Kikwete alisema, licha ya CCM kuzoa kata nyingi kwenye uchaguzi huo, viti vinne kwenda kwa upinzani bado ni doa hivyo lazima CCM ihakikishe inazikomboa kata hizo nyakati za chaguzi zijazo.
"Ni kweli tumezoa kata nyingi, lakini kwa kuwa lengo letu CCM kila wakati ni kushinda tu, hatua hiyo ya kuzikosa kata nne bado ni doa lazima kuzikomboa kata hizo chaguzi zijazo", alisema, Rais Kikwete.
Pia alipongeza CCM, kwa ushindi iliopata kwenye uchaguzi mdogo wa jimbo la Kimbesamaki na kwamba CCM inaona fahari kulirejesha jimbo hilo mikononi mwake, kwa kuwa ilikuwa imelazimika kumfuza mwakilishi wake wa awali kwenye jimbo hilo kwa kuwa alikuwa msaliti aiyefaa kuendelea kuwemo ndani ya Chama. KWA PICHA ZAIDI YA 20 ZA KIKAO HICHO TAFADHALI>BOFYA HAPA
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2014
(556)
-
▼
February
(88)
- MWIGULU, MGOMBEA WA CCM KALENGA, WASHIRIKI MAZISHI...
- PRESIDENT KIKWETE RECEIVES A REPORT ON STATE OF AF...
- DC HANANG AKUTANISHA VIJANA 316 KUANZISHA SACCOS
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA MEYA WA MJI WA VALLEJO WA ...
- MWIGULU ALIVYOZINDUA KWA KISHINDO KAMPENI ZA CCM K...
- RAIS KIKWETE AZINDUA MTAMBO WA KUHAKIKI TAKWIMU ZA...
- TAARIFA KUTOKA IDARA YA HALI YA HEWA
- RAIS KIKWETE AUNGANA NA JUMUIYA YA CHUO KIKUU KUTO...
- CCM YAPIGA KIPYENGA KALENGA; MWIGULU AMNADI MGOMBE...
- MASELE AWAWEZESHA WAKINA MAMA LISHE SHINYANGA
- NAPE : CCM IMEJENGWA KWA MISINGI IMARA
- TANZANIA YASISITIZA NYONGEZA YA POSHO KWA WALINZI...
- MTEMVU ACHANGIA VIKOBA TEMEKE
- MISAADA KWA YATIMA NA MAPACHA WANNE YAFIKA SALAMA ...
- WAZIRI NYALANDU AWANG'OA VIGOGO IDARA YA WANYAMAPORI
- WAMILIKI WA MAENEO YA BIASHARA WAOMBWA KUTOA KIPAU...
- WANAFUNZI WA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII WATEMBELEA ...
- AFTER PARTY YA LADY IN RED ILIVYOFANA
- RAIS JAKAYA KIKWETE AMLILIA BALOZI FULGENCE KAZAUR...
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA ...
- SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM MAREKANI KUFANYIKA LEO ...
- MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YATOKA
- SALMA MOSHA: BALOZI ZINA NAFASI KUBWA YA KUTANGAZA...
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MKUTANO WA NNE...
- ZIARA YA MZEE MANGULA CHINA
- MEMBE: SERIKALI KUENDELEA KUSAIDIA KUSIMAMIA MASUA...
- PSPF YAWAPIGA MSASA WANAHABARI DAR, WENGI WAVUTIWA...
- TAHADHARI YA MVUA
- NAPE: NDOTO ZANGU KABLA YA KUWA MWANASIASA NILITAM...
- MSAADA TOKA UINGEREZA KWA MAMA WA MAPACHA WANNE WA...
- VIDEO YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI NAPE NNAUYE A...
- WADAU WAOMBWA KUDHAMINI MAONYESHO YA KAZI ZA VIJAN...
- CCM YATOA ADHABU YA ONYO KALI KWA WANAOJITANGAZA K...
- CCM KUBAKI NA MUUNDO WA SERIKALI MBILI
- KINANA ASUKIWA MIKAKATI YA KUMHUJUMU KISIASA
- HALMASHAURI KUU YA CCM TAIFA YAENDELEA LEO
- MEMBE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI
- JK AWAPA RUNGU CCM, AWATAKA KUACHA UNYONGE DHIDI Y...
- JAKAYA AZINDUA SERA YA MTANDAO WA VIKUNDI VYA MAAD...
- SABMILLER AFRICA/TBL ZAISADIA ACE AFRICA KUBORESHA...
- RAIS KIKWETE ALIPOREJE NYUMBANI JANA AKITOKEA LONDON
- KONGAMANO LA UWEKEZAJI KANDA YA ZIWA LAENDELEA LEO...
- TIC YASAINI MIKATABA YA MAKUBALIANO YA UWEKEZAJI N...
- RWANDA AIR YATOA SEMINA KWA MAWAKALA WA MASHIRIKA ...
- KAMATI YA MAADILI YAMHOJI WASSIRA MJINI DODOMA
- JANUARY MAKAMBA AHOJIWA KAMATI YA MAADILI
- WATATU WAHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA UHA...
- JIMBO LA TEMEKE CCM LAFANYA UCHAGUZI WA VIONGOZI, ...
- RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI AIFAGILIA TAA...
- WAANDISHI WA HABARI WA REDIO ZA JAMII WAASWA KUZIN...
- TBL YAKABIDHI WODI YA WAZAZI NA MIUNDOMBINU YA MAJ...
- MAKAMU WA RAIS DKT BILAL AFUNGUA KONGAMANO LA TAFA...
- TAARIFA KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA
- CCM YATEUA MGOMBEA WAKE UCHGAUZI MDOGO JIMBO LA K...
- TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YATANGAZA RATIBA UCHAGUZ...
- KAMATI KUU YA CCM YAKUTANA CHINI YA MWENYEKITI WAK...
- MAANDALIZI BUNGE LA KATIBA
- CCM YATOA SHUKRANI KWA WANANCHI KUIMWAGA CHADEMA K...
- MADABIDA KIZIMBANI AKIDAIWA KUSAMBAZA DAWA BANDIA ...
- RAIS KIKWETE AIFARIJI FAMILIA YA MAREHEMU MZEE PAT...
- RAIS KIKWETE AKUTANA NA MJUMBE WA EU, NA SHIRIKA L...
- KONGAMANO LA 9 LA CTO LA MABADILIKO YA MFUMO WA U...
- CCM KIDEDEA, YAIACHA MBALI CHADEMA UCHAGUZI MDOGO ...
- MTEMVU AZUNGUMZA NA HALMASHAURI KUU YA CCM KATA YA...
- YANGA YAINYUKA KOMORIZINE SPORTS SABA BILA
- TAARIFA RASMI KUHUSU UTEUZI WA WAJUMBE WA BUNGE MA...
- TASWIRA YA MKUTANO WA NANE WA MWISHO KUHUSU MAENDE...
- NAPE:KUZUIA WATU KUPIGA KURA NI KUIHUJUMU DEMOKRASIA
- NAPE ALAANI VITENDO VYA KINYAMA VINAVYOFANYWA NA U...
- KIKAO MAALUMU CHA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA VYENYE...
- ZIARA YA RAIS WA ZANZIBAR, DK. SHEIN NCHINI INDIA
- JUMA NKAMIA; KUTOKA UTANGAZAJI HADI NAIBU WAZIRI
- MAOFISA HABARI NA MAWASILIANO WATOA MSAADA KWA WAZ...
- MWAKILISHI MPYA WA KIEMBESAMAKI AAPISHWA
- RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE APOKEA HUNDI YA SHILING...
- USIKU WA WASANII NA WAANDISHI WA HABARI WAFANA
- MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AKUTANA NA MKUU WA JESHI...
- TANZANIA MJUMBE WA BODI TENDAJI UNDP, UNFPA NA UNOPS
- KINANA AZURU NYUMBANI KWA MAREHEMU MGIMWA, IRINGA
- RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAJENGO YA BUNGE DODOMA
- MWENYEKITI WA CCM, RAIS KIKWETE AONGOZA SHEREHE ZA...
- RAIS JAKAYA KIKWETE AGUSWA NA UTENDAJI WA KINANA, ...
- MATEMBEZI YA MSHIKAMAO KUADHIMISHA MIAKA 37 YA CCM...
- MWENYEKITI WA CCM TAIFA AWASILI MKOANI MBEYA TAYAR...
- MAANDALIZI YA SHEREHE ZA MIAKA 37 YAFIKIA HATUA ZA...
- CCM YAZIDI KUJIIMARISHA MBEYA MJINI
- MAANDALIZI SHEREHE ZA MIAKA 37 YA CCM YAIVA MBEYA
-
▼
February
(88)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.
Chadema hutumia fujo kuwatisha watu wakati wa kampeni na kupiga kura, wanatumia vikundi vya watu fulani, baya zaidi hata vyombo vya dola huwa dhaifu kwa kuogopa vyombo vya habari, mimi nafikiri dola ibaki kufanya kazi bila kujali chochote mradi imlinde mwananchi wake kwa nia ya dhati bila kuwa ndumila kuwili.
Lakini pia CCM iandae ulinzi strong wa vijana ambao ni trained hasa pamoja na mbinu nyingi kwani haitakuwa ni kazi nyepesi kwa kuwa nia ni kunyamazisha ukorofi wa kijinga, hivyo inatakiwa ukorofi wenye akili katika kuadabisha ujinga huo na wananchi au wanazi wa CCM wawe huru na wenye amani ktk kampeni na uchaguzi mzima.
Maandalizi yaanze sasa, najua ktk vikao tutatoa mbinu nyingi tu ambazo mtajua kweli tulikuwa tumelala hapo nyuma.
Lets unite first....