Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba, akishiriki katika mazishi ya mmoja wa vijana watatu waliokufa baada ya kupata ajali ya gari katika Mlima Ukwasi, lilikuwa likienda Kijiji cha Tungamalenga kupeleka biashara ya maji. Mazishi hayo yalifanyika katika Kijiji cha Kidamali Kata ya Mzihi, Jimbo la Uchaguzi la Kalenga, Iringa Vijijini, jana.
Mgombea wa CCM katika Jimbo la Kalenga, Godfrey Mgimwa akishiriki katika maziko ya mmoja wa vijana waliokufa kwenye ajali hiyo. Waliokufa kwenye ajali hiyo ni dereva Nyagile Luvanda,Sabasaba Kuzungola na Ansikali Chengula.CCM imetoa ubani kwa wafiwa sh. mil. 1 na kuahidi kuwasomesha watoto wa waifiwa.
Mgombea Ubunge Jimbo la Kalenga kupitia tiketi ya CCM, Gobfrey Mgimwa (wa pili kushoto) akizungumza na baadhi ya vijana wa Kijiji cha Kidamali alipokwenda kuwafariji wafiwa wa misiba hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Mwigulu Nchemba (aliyevaa kombatii), akiwa na Mgombea Ubunge Kupitia CCM, Godfrey Mgimwa (kulia kwake), na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Iringa, Jesca Msambatavangu walipofika Kijiji cha Kidamali.
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kalenga kupitia CCM, Godfrey Mgimwa akisalimiana na baadhi ya vijana katika Kijiji cha Kidamali.
Baadhi ya ndugu wa karibu wa marehemu wakilia na baada ya kuona magari yaliyobeba miili katika Kijiji cha Kidamali.
Sehemu ya waombolezaji
Jeneza lenye mwili wa mmoja wa vijana walikufa kwenye ajali hiyo ukiwasili eneo la maziko
Mwili mwingine ukiwasili eneo la makaburi katika Kijiji cha Kidamali
Sasa ni wakati wa maziko. Moja wa wana CCM akishiriki katika maziko hayo
Nchemba na Mgimwa wakiwa katika maziko hayo
Wanahabari wakiwa katika maziko hayo
Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kidamali, walioshiriki mazishi ya vijana hao, wakisoma vipeperushi vilivyokuwa vikisambazwa na wafuasi wa Chadema wakati maziko ya vijana hao yakiendelea katika makaburi kwenye Kijiji cha Kidamali leo.
Ulinzi wa askari ukiwa umeimarishwa wakati wa maziko ya vijana hao.
Gari lililopata ajali na kusababisha vifo vya vijana hao. Imetayarishwa na Kamanda Richard Mwaikenda