Meneja Kiongozi Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Mrs Eunice Chiume (Katikati) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya maafisa uhusiano wa shirika hilo katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja ya Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Meneja Kiongozi, Uhusiano na huduma kwa wateja Mrs Eunice Chiume wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya jamii akifafanua jambo kuhusu Bima ya Afya kwa mwanachama alietembelea Banda hilo katika maonyesho ya Sabasaba.