Mbunge wa Chalinze, mkoa wa Pwani, Mtoto wa Rais, Ridhiwani Kikwete, akijaribu kimoja kati ya vitanda 267, kabla ya kuvigawa kwa shule saba za jimboni Chalinze, katika hafla iliyofanyika jana, kwenye shule ya Sekondari Lugoba jimboni humo. Shule zilizopewa vitanda hivyo vikiwa na magodoro yake, idadi ya vitanda ilivyopata ikiwa kwenye mabano ni; Chalinze (50), Moreto (50), Mandera (25), Talawanda (24), Kiwangawa (50), Lugoba (38) na Kikaro (30). Kwa mujibu wa Ridhiwani mgawo huo ni wa awamu ya kwanza.
Ridhiwani akimkabidhi vitanda 50 Mwalimu Emmanuel Kahabi kwa ajili ya shule ya Chalinze. Kushono ni Abubakari Mlawa wa Kampuni ya MM Steel iliyotoa vitanda hivyo
Abdalla Sakasa wa Lugoba- akikabidhiwa vitanda vitanda 38
Charles Mussa wa Talawanda- vitanda 24
Omari Msami wa Kikaro-vitanda 30
Rose Umila wa Mandera Girls vitanda 25
Saidi Ally wa Kiwangwa akipongezwa na wadau baada ya kupata vitanda 50.
Ridhiwani akifurahi na wanafunzi wa shule ya Talawanda baada ya kukabidhi vitanda kwa mwalimu wa shyle hiyo (kulia)
Mgawo awamu ya kwanza
Ridhiwani akizungumza na wadau kueleza mikakati mbalimbali ya kukwamua maendeleo ya jimbo la Chalinze, ambapo alieleza kuwa miongoni mwa vipaumbele ni huduma za umeme ambapo italetwa Transfoma itakayowezesha jimbo hilo kupata umeme wa uhakika, afya na elimu
Wadau wakimsikiliza Ridhiwani. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO-CCM Blog
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2014
(556)
-
▼
July
(32)
- WANANCHI WAFURAHI KUMUONA RAIS KIKWETE AKIJUMUIKA ...
- RIDHIWANI AANZA KUSAIDIA WADAU, AKABIDHI VITANDA 1...
- FACEBOOK KUZINDULIWA JIJINI DAR AGOSTI 3,WAKAZI WA...
- KIKWETE AFURAHISHWA NA MIRADI YA SHIRIKA LA NYUMBA...
- JERRY SLAA KUKABIDHI ZAWADI KWA WATEJA WA BANDA LA...
- MAWAZIRI WATEMBELEA BANDA LA MeTL GROUP MAONYESHO ...
- RAIS JAKAYA KIKWETE ATEMBELEA MAONYESHO YA TANTRAD...
- KONGAMANO LA TATHMINI YA MIAKA 13 YA UTEKELEZAJI W...
- MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI ANA KWA ANA NA V...
- KINANA NDANI YA GYM YA UWANJA WA AZAM COMPLEX, CHA...
- RAIS KIKWETE APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZ...
- UMOJA WA MATAIFA WAONGEZA VIWANGO VYA POSHO ZA W...
- SEHEMU YA BARABARA YA KAWAWA KUFUNGWA LEO NA KESHO...
- RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI AZINDUA MSIKITI WA ...
- DHAMIRA YETU NI KUKIDHI MAHITAJI YA WATEJA YA KIBE...
- MKOA WA DODOMA WASHEREHEKEA KUANZA KWA UJENZI WA M...
- RAIS KIKWETE AONANA NA MWANA MFALME WA JAPAN PRINC...
- WAZIRI WA ARDHI PROFESA ANNA TIBAIJUKA ASIFU KAZI ...
- MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ...
- TBL YATWAA TUZO YA UDHAMINI MAONESHO YA SABASABA DAR
- MAMBO YAMEIVA NDANI YA BANDA LA MeTL GROUP KWENYE ...
- SERIKALI YATHIBITISHA KIFO CHA BALOZI WA LIBYA
- UN YAZIDI KUNG'AA MAONYESHO YA SABASABA, YATWAA TU...
- DK BILAL AUHUDHURIA MAADHIMISHO YA MIAKA 52 YA UHU...
- BREAKING NEWZZZ!: BALOZI MDOGO WA LIBYA NCHINI TAN...
- RAIS KIKWETE AMLILIA NG'WANAKILALA
- MAGUFULI AVUNA WANACHAMA WAPYA 376 CHATO
- MAMA SALMA KIKWETE AMLAKI MALKIA NOMSA WA SWAZILAND
- PSPF KATIKA MAONYESHO YA SABASABA , VIWANJA VYA MW...
- LATEST ASSESSEMENT OF AFRICAN POLICIES AND INSTITU...
- NSSF IPO VIZURI KWENYE MAONYESHO YA SABA SABA
- WAJUMBE WA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI WAONGEA NA WA...
-
▼
July
(32)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.