KWA MUJIBU WA MTANGAZAJI WA RADIO ONE, JENGO HILO LILIKUWA BADO UJENZI WAKE UNAENDELEA KATIKA MTAA WA INDIRA GANDHI KATIKATI YA JIJI LA DAR ES SALAAM NA ANAELEZA KWAMBA MTAA HUO UMEFUNGWA.
AMESEMA KUFUATIA TUKIO HILO POLISI NA TAASISI NYINGINE ZA UOKOJI WAMEFIKA ENEO HILO, LAKINI AMESEMA WAOKOAJI HAWANA VIFAA VVYENYE UWEZO WA KUTOSHA KATIKA UOKOAJI ZAIDI YA KUTUMIA VIFAA DUNI KAMA KOLEO, MAJEMBE NA SULULU.