Google PlusRSS FeedEmail

KINANA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU CHA TIANJIAN, CHINA


Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (wapili kushoto) na ujumbe wake, wakionyweshwa maumbo ya namna kiwanda cha viatu cha Huajian mjini Dongguan, China, alipotembelea kiwanda hicho, Machi 13, 2013, akiwa katika ziara ya mafunzo, nchini China. (Picha na Bashir Nkoromo).
Wafanyakazi wa Kiwanda cha viatu cha Huanjian, Dongguan, wakiwa kazini.

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na ujumbe wake, wakipata maelezo kwa video, kuhusu kiwanda cha viatu cha Huajian mjini Dongguan, China, alipotembelea kiwanda hicho, Machi 13, 2013, akiwa katika ziara ya mafunzo, nchini China. (Picha na Bashir Nkoromo).

This entry was posted in

Leave a Reply