Google PlusRSS FeedEmail

TRA YAWAPA SEMINA WAJASIRIAMALI WA TEMEKE

 Meneja wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoa wa Kikodi wa Temeke, Victor Msuya akifafanua jambo wakati wa semina ya wajasiriamali wa mkoa huo, iliyoandaliwa na TRA, katika ukumbi wa EPZA, katika viwanja vya Maonyesho ya Sabasaba, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
 Mkadiriaji Mkuu wa Kodi kutoka TRA, Lovel Mwanri akitoa mada kuhusu changamoto wa ukusanyaji kodi, wakati wa semina hiyo.
 Washiriki wakiwa kwenye semina hiyo
Viongozi kutoka TRA na Washirika, wakiwa meza kuu wakati wa semina hiyo. NKOROMO BLOG

This entry was posted in

Leave a Reply