Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AFIKA ENEO LA TUKIO LA KUPOROMNOKA KWA GHOROFA DAR

*ATOA TAMKO ZITO NA MAELEKEZO MAHSUSI KWA MKOA
*AWAPA POLE WAFIWA NA WALIOFIKWA NA MAAFA HAYO
RAIS KIKWETE
IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete mchana wa leo, Ijumaa, Machi 29, 2013, ametembelea jengo  lililoporomoka na kusababisha vifo vya watu na majeruhi kwenye Mtaaa wa Indira Gandhi/Morogoro mjini Dar es Salaam na amesikitishwa na kuhuzunishwa na maafa yaliyotokana na kuporomoka kwa jengo hilo.
Rais Kikwete anawapa pole nyingi wafiwa, anawapa pole nyingi walioumia na wanaoendelea kupatiwa matibabu baada ya kubanwa katika kifusi, wakiwamo watoto wadogo ambao walikuwa wanacheza chini ya jengo hilo la ghorofa 16 wakati lilipoporomoka asubuhi ya leo huku likiendelea kujengwa. HABARI ZAIDI>>BOFYA HAPA

This entry was posted in

Leave a Reply