SAYED CORPORATION YAKABIDHI MSAADA WA SH.MIL 10 NA BAISKELI KWA VICTORIA FOUNDATION
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Sayed Corporation, Sayed Masood ur Rehman (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya Sh. Milioni Kumi kwa Mwenyekiti wa Victoria Foundation, Vicky Kamata katika hafla iliyofanyika jana, katika ukumbi wa Synergy Grill Oysterbay, Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Mgeni wa heshima katika hafla hiyo, Waziri wa Afya Dk. Hussein Mwinyi. PICHA ZAIDI ZA TUKIO HILI; BOFYA HAPA