|
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakipiga Gwaride kwa mwendo wa haraka. |
Gozibety Mbwele (3)akipiga ngoma kwa umakini na kuwa kivutio cha hali ya juu,mbele yake ni Nyamburi Mganga (5) akicheza kwa umaridadi, watoto hawa ni wasanii kutoka kundi la Utandawazi,Mwanza |
Kikundi cha ngoma kutoka Rwanda kikitoa burudani ya kipekee uwanjani hapo. |
Watoto hodari wakishiriki katika halaiki kwenye sherehe ya kuadhimisha miaka 51 ya Uhuru. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwatambulisha wageni waalikwa kutoka mataifa rafiki waliofika kushuhudia sherehe za miaka 51 ya Uhuru. |