Wananchi mbalimbali wa Mkoani Lindi wakiwa wamepanga foleni katika Banda la WAMA kupata Huduma mbalimbali zinazotolewa katika Banda hilo. |
Vicky Chuwa mmoja wa maafisa wa UNICEF hapa nchini akiwa katika Banda la TACAIDS kwenye maazimisho ya Siku ya Ukimwi iliyofanyika kitaifa Mkoani Lindi. |
Jukwaa Kuu katika Uwanja wa Ilulu likiwa limepambwa tayari kutumika katika Maazimisho hayo. |