Uwezo wa Mangula umesababisha kiwewe kwa Chadema, Kilimwiko
Na Charles Charles
JUMATANO ya Novemba 12, 2012, Mjumbe wa Kamati Kuu na Mshauri wa Masuala ya Kisiasa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Kitila Mkumbo aliendeleza wimbi lake la kutokubaliana na kitu chochote kinachofanywa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wala serikali yake.
Bofya hapa kwa habari zaidi.