Google PlusRSS FeedEmail

MAPOKEZI YA MAKAMU MWENYEKITI WA CCM NA NAIBU KATIBU MKUU, ZANZIBAR YATIA FORA

 MAKAMU Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar), Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohammed Shein akiwasalimia wananchi waliokuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara, wakati msafara wa mapokezi yake na Naibu katibu Mkuu wa CCM, Zanzibar, jana mjini Zanzibar
 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Vuai Ali Vuai akivishwa shada wakati wa mapokezi hayo
 Naibu Katibu |Mkuu Vuai Ali Vuai akisalimia wana CCM wakati wa mapokezi hayo
 Naibu Katibu Mkuu Vuai Ali Vuai akizungumza na wanachama wakati wa mapokezi hayo
 Naibu Katibu Mkuu, akisaini kitabu Ofisini kwake
 Makamu Mwenyekiti wa CCM, Dk. Syheni akivishwa shada la maua
 Dk. Shein akiwasalimia wanaCCM na wananchi kwa jumla katika ma[pokezi hayo
 Kijana wa CCM akimpigia saluti ya heshima makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Shein
 Dk. Shein akiwasalimia wana-CCM na wananchi kwa jumla waliohudhuria mapokezi hayo mjini Zanzibar
 Msafara wa mapokezi ukiongozwa kwa pikipiki
 Wana-CCM wakiawa katika matembezi maalum ya mapoakezi hayo
 Dk. Shein, Vuai Ali Vuai na Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Seif Ali Iddi wakiomba dua kwenye kaburi la Muasisi wa Mapinduzi ya Zanzibar, Amani Abeid Karume, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar
 Naibu Katibu Mkuu akizungumza na wafanyakazi wa CCM katika mapokezi hayo, kwenye Afisi ya CCM, Kisiwandu, Zanzibar. Wapili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Shein
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Shein akizungumza na wafanyakazi wa CCM, Afisi Kuu ya CCM, Kisiwandui mjini Zanzibar. (PICHA KWA HISANI YA CCM-ZANZIBAR)

This entry was posted in

Leave a Reply