Google PlusRSS FeedEmail

RAIS JAKAYA KIKWETE AWEKA JIWE LA MSINGI LA UJENZI WA UKUMBI NA MAJENGO YA MAKAO MAKUU YA CCM DODOMA

Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili Makulu ,Dodoma tayari kwa sherehe za uwekaji jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na majengo ya Ofisi za makao makuu ya chama. 


Rais  wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Dk. Jakaya mrisho Kikwete akiwasili eneo la Makulu,Dodoma kwenye sherehe za kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa ukumbi na ofisi za makao makuu ya chama.


Rais Jakaya Kikwete akipokea hati ya Kiwanja kitakachotumika kujenga, Ukumbi,Ofisi za Makao Makuu na Hotel ya hadhi ya nyota tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CDA,William Lukuvi.


This entry was posted in

Leave a Reply