Shughuli za kutengeneza barabara kwa kiwango cha lami zikiendelea leo katikati ya mitaa ya Dodoma mjini. |
Pichani mafundi wa ujenzi wakike na wakiume kwa pamoja wakishiriki kutengeneza barabara katika kiwango cha lami kwenye barabara za manispaa ya Dodoma mjini. |