Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA BARABARA YA KWA SADALA-MAS​AMA, WILAYANI HAI


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani  na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai.


 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na wananchi  katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai.


This entry was posted in

Leave a Reply