HAKI ZA VIUMBE KAMA KUKU HAWA KWA NINI HAZILINDWI?
Licha ya kuwepo sheria ya kutetea haki za viumbe hai ikiwemo wanyama na ndege, viumbe hao wameendelea kuteswa na binadamu kwa namna mbalimbali kwa kuwa binadamu walioweka sheria hizo hawazizingatii, kama mtu huyu alivyokutwa amewabeba kuku kwa kuwakusanya pamoja huku akiwaning'iniza vichwa chini, mjini Dodoma. PICHA NA BASHIR NKOROMO