MAELFU WAHUDHURIA MKUTANO WA KINANA MJINI MTWARA
KATIBU Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, akihutubia maelfu ya wananchi, katika Uwanja wa Soko Kuu mjini Mtwara, akiwa katika ziara ya siku moja mkoani humo. (picha na Bashir Nkoromo) Pia leo tarehe 22 Nov. Katibu Mkuu atakuwepo mkoani Rukwa.