Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akihutubia maelfu ya wananchi katika Uwanja wa Sheikh Amr Abeid, baada ya kuvalishwa mavazi ya heshima ya moja ya makabila ya mkoa wa Arusha |
Naibu Waziri wa TAMISEMI, Aggret Mwanri akihutubia kwenye mkutano huo |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM Uwanja wa Sheikh Amri Abeid |
Baadhi ya wananchi wakipigapicha kwa kutumia kamera na simu zao ili kupata kumbukumbu ya matukio mbalimbali wakati wa mkutano huo |
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM, Khamis Sadifa Juma. akizungumza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Sheikh Amri Abeid jijini Arusha |
Aliyekuwa diwani wa Chadema, Rehema Mohammed ambaye amehamia CCM, akibubujikwa machozi jukwaani wakati akitangaza kuhamia CCM wakati wa mkutano huo |
Maelfu ya wananchi waliohudhuria mkutano huo. |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akishiriki kucheza 'kiduku' Msanii Malow alipotumbuiza wakati wa mkutano huo. |