Kinana akimsalimia Mwanasiasa mkongwe, Chrisant Mzindakaya, kwenye Uwanja wa Ndege wa sumbawanga, mkoani Rukwa, jana |
Wajumbe wa mkutano wa shina namba moja la Kisesa mkoani Rukwa wakimsikiliza Kinana wakati akiwahutubia, aliposhiriki mkutano wao uliofanyika jana. |
Wana-CCM wakiwa na bango la kumpongeza Katibu Mkuu wa CCM, Abdylrahman Kinana, mpongeza Kinana katika mkutano uliofanyika jana Sumbawanga mjini mkoani Rukwa |
Naibu Waziri wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Aggry Mwanri akizungumza kwenye mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana mjini Sumbawanga |
Katibu wa NEC, Oganaizesheni, Mohamed Seif Khatib akisalimia wananchi wakati wa mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika mjini Sumbawanga mkoani Rukwa |
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nape akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM uliofanyika jana mjini Sumbawanga (PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO) |