MKUTANO MKUU WA CCM 2012 KATIKA PICHA Posted on by Unknown Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiongoza Mkutano Mkuu wa Nane,Kizota Dodoma leo. Kapteni John Komba akiimba mbele ya Wajumbe kutoka mikoa mbali mbali.Ukumbi wa Kizota ukiwa umefurika wajumbe kutoka kona mbali mbali.