Google PlusRSS FeedEmail

MATUKIO KATIKA PICHA ZA RAIS JAKAYA KIKWETE ALIVYOLAKIWA ARUSHA


Wakazi wa Arusha wakifurahi kusalimiana na Rais Jakaya Mrisho Kikwete

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akionesha ufunguo aliokabidhiwa na Meya wa Jiji la Arusha Mstahiki Gaeudence Lytimo mbele ya maelfu ya wakazi wa jiji la Arusha katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid wakati wa sherehe za kihistoria za kuuzindua rasmi mji huo wa kitalii kuwa jiji



This entry was posted in

Leave a Reply