Google PlusRSS FeedEmail

KUTANA NA PAKA WA ZANZIBAR

Juzi Mtayarishaji Mkuu wa CCM Blog, Bashir Nkoromo,  alikuwa Zanzibar kikazi, alipokwenda kupata chai kwenye mgahawa mmoja maarufu, baadhi ya meza zikawa na vyombo vyenye mabaki ya vyakula vilivyoachwa na wateja. Kutokana na vyombo hivyo kuchelewa kuondolewa na wahudumu wa mgahawa huo,  alitokea paka huyu, na kuanza kula mabaki taratiiiib na kwa raha mustarehe kama ifuatavyo;- 
 2
 3
 4
Picha zote na Bashir Nkoromo

This entry was posted in

Leave a Reply