![]() |
Kinana akisalimiana na Lowassa. Uwanja wa Ndege wa Arusha. Kushoto ni Ktb wa CCM Arusha, Mary Chatanda |
![]() |
Pikipiki zikiongoza msafara wa Kinana, kutoka Uwanja wa Ndege wa Arusha |
![]() |
Kinana akisalimia wananchi baada ya kuwasili uwanja wa Usa River kuhutubia mkutano wa hadhara |
![]() |
Ngoma wa Kimasai, mkutano wa Meru, Arusha leo |
![]() |
Wazee wa Kimeru, wakimkabidhi vitendea kazi vya jadi, Katibu Mkuu wa CCM, Kinana katika mkutano uliofanyika Usa River, Arusha. Anayemkabidhi ni Ezrom Sumari |
![]() |
Wazee wa Kimeru wakimvisha Wasira vazi la jadi kuheshimu mapambano yake katika ujenzi wa Chama. |