Nape Nnauye ,Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipiga gitaa la rhythm na kuimba wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Chipukizi ,tayari kufungua kikao cha Kamati Kuu na NEC leo Dodoma. |
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akivalishwa skafu na chipukizi alipowasili Makao Makuu ya Chama leo Dodoma. |
Pandu Ameir Kificho spika wa Baraza la Wawakilishi akijadiliana jambo na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano,Anne Makinda, kushoto ni Kapteni John Chiligati. |
Rais wa Jamhuri wa Muungano na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi,Jakaya Mrisho Kikwete akifungua kikao cha kamati kuu Dodoma leo. |