Google PlusRSS FeedEmail

NIDHAMU NI NGUZO MUHIMU KWA WATUMISHI WA CHAMA

Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Abdulrahaman Kinana akizungumza masuala muhimu ya kichama na watumishi wa chama wa ofisi ndogo Lumumba ,Dar es Salaam,mara baada ya kupokelewa rasmi leo tar 19 nov 2012.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi, Phillip Mangula akizungumza na wafanyakazi wa ofisi ndogo Lumumba na kusisitiza nidhamu kazini.


This entry was posted in

Leave a Reply