Google PlusRSS FeedEmail

KIZOTA NI KILA KITU

Banda la Gazeti la Uhuru lililopo Kizota ,Dodoma limekuwa kivutio kikubwa sana kwani Viongozi,wajumbe na wanachama wamekuwa wakimiminika kuona picha za zamani na historia ya magazeti kinngwe nchini Uhuru na Mzalendo.


Aden Rage,Mbunge wa Tabora mjini,ambaye pia ni mwenyekiti wa timu ya mpira ya Simba,akiwa kwenye meza ya waandishi wa Habari, Kulia kwake ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Maelezo,Assa Mwambene na kushoto ni mwandishi Eva-Sweet  Musiba.


Msanii wa TOT akionyesha ujuzi wa kucheza.


Waandshi wa habari wakiwa kazini wakati mkutano Mkuu wa Nane wa CCM ukiendelea,Kizota Dodoma leo.


Biashara zimepamba moto, hii inadhihirisha CCM inavyotua fursa.

Biashara ya vyakula imepamba moto eneo la Kizota.



Bank nazo hazikuwa nyuma kutoa huduma kwenye Mkutano Mkuu wa nane wa CCM.


Gari la bank ya CRDB likiwa kwenye eneo la mkutano mkuu wa nane wa CCM ,Kizota Dodoma.







This entry was posted in

Leave a Reply