Hivi ndivyo kina mama wengi waliohudhuria sherehe za kupongeza safu mpya ya uongozi wa CCM Taifa, waliovyokuwa wamejinakshi, kwenye Viwanja vya Kibanda maiti, Zanzibar
Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili kwenye viwanja vya Kibandamaiti mjini Zanzibar kuongoza sherehe hizo. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana na Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai
Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Dk. Ali Mohamed Sheni akimsalimia Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Mjini Silima Borafya baada ya kuwasili kwenye sherehe hizo
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana ambaye alitangulia kuwasili kwenye Viwanja vya Kibanda maiti, kabla ya Dk. Sheni, akiingia kwenye Viwanja hivyo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Bara) Mwigulu Nchemba, Naibu Katibu Mkuu (Zanzibar) Vuai Ali Vuai na Katibu wa NEC, Itikasi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye.
Kinana akimsalimia Mjumbe wa Shamshi Vuai Nahodha kwenye sherehe hizo
Makamu Mwenyekiyi wa CCM (Bara) Dk. Shein akihutubia maelfu ya wananchi katika sherehe hiyo
Wana-CCM waliofurika kwenye sherehe hiyo wakimsikiliza kwa makini Dk. Shein wakati akihutubia