Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anne Makinda akisalimiana na MNEC Wilaya ya Monduli, Mh. Edward Lowassa jioni ya leo katika ukumbi wa NEC-Dodoma. |
Waziri Mkuu mstaafu Mh. David Cleopa Msuya akibadilishana mawazo na Mh. Abrahaman Kinana leo kabla ya kuanza kwa kikao cha NEC. |
Mjumbe wa NEC akipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum linalozungumzia mkutano mkuu wa CCM . |
Mh.Muhammed Seif Khatib na Mh. Vuai Ali Vuai ,Naibu Katibu Mkuu Zanzibar wakipitia gazeti la Mzalendo toleo maalum kwa ajili ya Mkutano Mkuu wa nane wa CCM |
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo, kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Wilson Mukama. |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa akiongoza kikao cha wajumbe wa NEC Dodoma leo. |