Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Balozi wa Uganda aliyemaliza muda wake wa kazi hapa nchini Mhe Ibrahim Mukiibi alipofika kuaga leo Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salam |
Rais Jakaya Kikwete akiwa katika mazungumzo na Naibu Waziri Mkuu na Rais Mstaafu wa Kosovo Mhe Behgjet Isa Pacolli leo Desemba 19, 2012 Ikulu jijini Dar es salaam. Picha na Ikulu. |