Google PlusRSS FeedEmail

RAIS ASHIRIKI MAZISHI YA ALIYEKUWA MBUNGE WA TABORA MJINI

Baadhi ya Viongozi wa Serikali na wasio wakiserikali, ndugu na jamaa wakielekeamakaburini tayari kwa mazishi ya mbunge wa zamani wa Tabora mjini,ndugu Siraju Juma Kaboyonga

Rais Mstaafu, Ally Hassan  Mwinyi akishiriki kuweka udongo kwenye kaburi la mbunge wa zamani wa Tabora Mjini,ndugu Siraju Juma Kaboyonga kwenye makaburi ya Kisutu leo.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka udongo kwenye kaburi la aliyekuwa mbunge wa Tabora mjini,ndugu Siraju Juma Kaboyonga.

This entry was posted in

2 Responses so far.

Leave a Reply