Google PlusRSS FeedEmail

TAARIFA YA CAG YAMNG'OA MEYA MANISPAA YA BUKOBA, ANTHONY AMANI

LUDOVICK UTOUH
BUKOBA, Tanzania
Meya Wa Manispaa ya Bukoba Antory Amani amejiuzuru nafasi hiyo baada ya Waziri mkuu Mizengo Pinda kumtaka Meya huyo kujipima mwenyewe au  kujiuzuru na akikaidi  baraza la madiwani wachukue hatua ya kumwajibisha kwa kumpigia kura ya kutokuwa na imani naye.
Hali hiyo imetokea baada ya taarifa ya Mkaguzi na Mthibiti Mkuu wa Hesabu za Serikalia Ludovick Utouh, kutoa taarifa yake  leo juu ya ukaguzi...INAENDELEA>BOFYA

This entry was posted in

Leave a Reply