Google PlusRSS FeedEmail

BALOZI WA SUDANI NCHINI AMTEMBELEA MANGULA LEO

Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangula akizungumza na Balozi wa Sudani nchini, Dr. Yassir M. Ali leo katika Ofisi Ndogo za CCM Lumumba.

Balozi wa Sudan nchini,Dk.Yassir M. Ali akiwa kwenye picha ya pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndugu Philip Mangura mara baada ya kumtembelea katika Makao Makuu ya CCM ,Ofisi ndogo Lumumba.

This entry was posted in

Leave a Reply