Google PlusRSS FeedEmail


 Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na Mgombea wa CCM wa Kiti cha Ubunge wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Chambani Ndg. Mattar Farhan Said wakati alipoingia kwenye viwanja vya mkutano wa Kampeni.

This entry was posted in

Leave a Reply