Google PlusRSS FeedEmail

1Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye ukiwasili katika mji wa Nzega Katika wilaya hiyo Tayari kwa kuanza Ziara ya Siku 18 katikia mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara kesho ambapo ziara hiyo itaanza katika mkoa wa Shinyanga, Katibu Mkuu huyo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na wananchi waliojitokeza katika mapokezi hayo, Kinana leo amezungumza na wananchi wa Nzega na kukutana na vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ambapo pia amepokea Pikipiki tisa kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo Dk. Khamis Kigwangala ambazo ambazo amezikabidhi kwa viongozi wa kata 9 kati ya 21 zilizopo katika Wilaya hiyo, ambapo pia amekabidhi mashine ya kutotolea vifaranga vya kuku kwa kikundi cha wazee wa Nzega , Pikipiki hizo zimekabidhiwa katika kata za Budushi, Ndala, Puge, Nkininziwa,Mbogwe, Lusu, ,Ijaniga, Utwigu na Isanzu baadae pikipiki 7 zitafutaiwa na kisha kata tano za mwisho. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NZEGA 2Vijana waendesha pikipiki na baiskeli wakiongoza msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. 3 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili wilayani Nzega leo 4Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipita katikati ya vijana wa Greenguard wa CCM huku wakitoa heshima zao mble ya mgeni huyo mara baada ya kuwasili wilayani Nzega leo. 5Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali. 6 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama mbalimbali na wananchi mara baada ya kuwasili wilayani Nzega. 7Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi 8 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisamewa risala wakati alipozindua mradi wa ujenzi wa vibanda vya biashara vya mradi wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Nzega. 9Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa ujenzi wa vibanda vya biashara katika uwanja wa Samora, vibanda hivyo ni mradi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilayani Nzega. 10Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akizungumza na wananchi huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza. 11Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye huku katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga makofi 12 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi huku Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza. 13Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo 14Wananchi wa Nzega wakiimba kwa furaha mara baada ya kumpokea katika mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana. 15Umati wa wanavikundi wakiwa katika mkutano huo 17Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza akiongea na wananchi 18Pikipiki zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza zikiwa tayari kwa ajili ya kukabidhiwa. 19 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha moja ya pikipiki kbaada ya kuzikabidhi kwa viongozi wa Kata 9 za Wilaya ya Nzega, 20Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa Hanifa Musa Kutoka kata ya Isanzu huku Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala katikati akishuhudia tukio hilo. 21 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Jimbo la Nzega Dk. Khamis Kigwangala mara baada ya kukabidhi mashine ya kutotolea vifaranga kwa kikundi cha wazee wa Nzega mjini humo.22Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye akizunumza na wana Nzega. 23Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizunumza na wananchi wakati alipowaambia hakuna haja ya kubadilisha mbunge mara kwa mara katika uchagzi kama mbuge aliyepo anafaa na anawatumikia wananchi vizuri kama vile Dk. Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEGA, APOKEA PIKIPIKI 9 KUTOKA KWA DK. KHAMIS KIGWANGALA NA KUKABIDHI KWA KATA 9 ZA CCM

Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye ukiwasili ... [Read More]

KINANA, NAPE KUTINGA SHINYANGA KESHO SAA 3 ASUBUHI

Ndugu Kinana SHINYANGA, Tanzania KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana kesho Jumanne, ataanza ziara ya siku nne mkoan... [Read More]


Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza na miji ya jirani katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo jioni.Rais Kikwete yupo Mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi kukagua na kuzindua miradi ya maendeleo(picha na Freddy Maro).

RAIS KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJINI MWANZA

Rais Dk. Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wakazi wa Mwanza na miji ya jirani katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza leo jioni.... [Read More]

ASSAD AKANA ALITUMIA SILAHA ZA KEMIKALI

Rais Bashar al Assad wa Syria amekanusha kuwa alihusika na shambulio kwa silaha za kemikali mjini Damascus mwezi uliopita. Akihojiwa na tele... [Read More]

MKURUGENZI wa Msama Auction Mart, Alex Msama akifafanua jambo jijini Dar es Salaam, leo, kuhusu kukamatwa kwa wafanyabiashara haramu kumi wa kazi za wasanii pamoja na mashine zao za kudurufu katika CD kazi za wasanii hao. Picha: Bashir Nkoromo

KUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII

MKURUGENZI wa Msama Auction Mart, Alex Msama akifafanua jambo jijini Dar es Salaam, leo, kuhusu kukamatwa kwa wafanyabiashara haramu kumi wa... [Read More]

Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki walifurika Dar Live.
Mashabiki wakiwa wamembeba juujuu mlemavu ambaye alipagawa na burudani za Jahazi.
Khadija Yusuf akijinafasi stejini.
Jukwaa likiwa juu wakati Leila Rashid akiwapa raha mashabiki.
Mzee Yusuf (kushoto) akiwa na Dude 'Yahaya' wakiimba kwa pamoja.
Mzee Yusuf akiendelea kuzikonga nyoyo za mashabiki waliofurika Dar Live.
Mcharaza gitaa wa Jahazi, Musa Musa akiwa kazini. Pembeni ni mabango ya wadhamini.
Wanamuziki wa Jahazi wakiimba kwa pamoja.
Leila Rashid akiwapagawisha mashabiki.
Baadhi ya wasanii wa filamu wakiwa jukwaani kusalimia mashabiki.
Baadhi ya mashabiki waliofurika wakiserebuka.
Mzee Yusuf akiserebuka na mpiga gitaa wa bendi hiyo, Mauji.
Hata sehemu ya kutema mate haikuwepo kwa jinsi mashabiki walivyofurika.
BENDI ya Jahazi Modern Taarab usiku wa kuamkia leo imefunika vilivyo katika onyesho lao la nguvu lililofanyika ndani ya Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live uliopo Mbagala Zakhem jijini Dar es Salaam.
Shoo kali kutoka kwa Mzee Yusuf na kundi lake ilizikonga nyoyo za mashabiki na kuwaacha roho safi. (PICHA ZOTE NA ISSA MNALLY / GPL)

JAHAZI MODERN TAARAB ILIVYOFUNIKA DAR LIVE

Mzee Yusuf akiwapagawisha mashabiki walifurika Dar Live. Mashabiki wakiwa wamembeba juujuu mlemavu ambaye alipagawa na burudani za Jaha... [Read More]

 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzinduzi wa Mbio za Bendera.

 Wamama kutoka mkoa wa Iringa wakicheza ngoma ya kihehe wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.

 Wanachama na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi wakishangilia salaam walizokuwa wanapewa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Ndugu Sixtus Mapunda.
 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana Sixtus Mapunda akisalimia wakazi wa Ruaha Buyuni wakati wa uzinduzi wa  wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa
 Wananchi akifuatilia kwa makini hotuba za viongozi wa chama waliofika wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera ya Chama mkoani Iringa.
 Viongozi wa Chama mkoani iringa wakifuatilia ratiba ya matukio mbali mbali yaliyopangwa wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya Chama Mkoani Iringa.
 Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akifungua Bendera ya Chama tayari kwa kuanza kwa mbio za Bendera ya Chama .
 Vijana wakakamavu wa chama wakiwa wamebeba picha ya Mwenyekiti wa Chama ambayo itakimbizwa sanjali na Bendera ya Chama katika mkoa wa Iringa.

 Bendera na Picha ya Mwenyekiti ambazo lengo ni kuwakumbusha wana CCM kukilinda na kukitetea chama ikiwa pamoja na kuwaeleza utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.


Katibu wa CCM mkoa wa Iringa ndugu Emmanuel Mteming'ombe akitoa salaam za utangulizi wakati wa uzinduzi wa Mbio za Bendera.
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu akihutubia wakazi wa Ruaha Mbuyuni wakati wa uzinduzi wa mbio za Bendera ya chama mkoani hapo

 Katibu wa NEC Itikad na Uenezi akihutubia wakati wa Iringa ambapo aliwaambia mbio hizo zitawasaidia wakazi wa mkoa huo kuelewa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, kukilinda na kujenga chama.
 Katibu wa NEC akikabidhi mpira kwa moja ya timu zilizofanya vizuri.
 Katibu wa NEC akikabidhi vyeti vya kutambua mchango wa mabalozi wa nyumba kumi .

Bendera ya Chama ikiwa juu kama ishara ya kuwa mbio za Bendera zimeshaanza.

NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA IRINGA

  Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi CCM Taifa Nape Nnauye akisalimiana na wananchi wa eneo la Ruaha Buyuni waliokuja kumpokea tayari kwa uzind... [Read More]