Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozana na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye ukiwasili katika mji wa Nzega Katika wilaya hiyo Tayari kwa kuanza Ziara ya Siku 18 katikia mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara kesho ambapo ziara hiyo itaanza katika mkoa wa Shinyanga, Katibu Mkuu huyo amepokelewa na viongozi mbalimbali wa chama na wananchi waliojitokeza katika mapokezi hayo, Kinana leo amezungumza na wananchi wa Nzega na kukutana na vikundi mbalimbali vya ujasiriamali ambapo pia amepokea Pikipiki tisa kutoka kwa mbunge wa jimbo hilo Dk. Khamis Kigwangala ambazo ambazo amezikabidhi kwa viongozi wa kata 9 kati ya 21 zilizopo katika Wilaya hiyo, ambapo pia amekabidhi mashine ya kutotolea vifaranga vya kuku kwa kikundi cha wazee wa Nzega , Pikipiki hizo zimekabidhiwa katika kata za Budushi, Ndala, Puge, Nkininziwa,Mbogwe, Lusu, ,Ijaniga, Utwigu na Isanzu baadae pikipiki 7 zitafutaiwa na kisha kata tano za mwisho. PICHA NA KIKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-NZEGA Vijana waendesha pikipiki na baiskeli wakiongoza msafara wa Katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akivishwa skafu mara baada ya kuwasili wilayani Nzega leo Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipita katikati ya vijana wa Greenguard wa CCM huku wakitoa heshima zao mble ya mgeni huyo mara baada ya kuwasili wilayani Nzega leo. Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na viongozi mbalimbali. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama mbalimbali na wananchi mara baada ya kuwasili wilayani Nzega. Msafara wa Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisamewa risala wakati alipozindua mradi wa ujenzi wa vibanda vya biashara vya mradi wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Nzega. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizindua mradi wa ujenzi wa vibanda vya biashara katika uwanja wa Samora, vibanda hivyo ni mradi wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilayani Nzega. Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akizungumza na wananchi huku Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye huku katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akipiga makofi Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi huku Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza. Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika mapokezi hayo Wananchi wa Nzega wakiimba kwa furaha mara baada ya kumpokea katika mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana. Umati wa wanavikundi wakiwa katika mkutano huo Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza akiongea na wananchi Pikipiki zilizotolewa na Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala akimsikiliza zikiwa tayari kwa ajili ya kukabidhiwa. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akijaribu kuendesha moja ya pikipiki kbaada ya kuzikabidhi kwa viongozi wa Kata 9 za Wilaya ya Nzega, Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa Hanifa Musa Kutoka kata ya Isanzu huku Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala katikati akishuhudia tukio hilo. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akimpongeza Mbunge wa Jimbo la Nzega Dk. Khamis Kigwangala mara baada ya kukabidhi mashine ya kutotolea vifaranga kwa kikundi cha wazee wa Nzega mjini humo.Katibu wa Itikadi, Uenezi na Siasa Ndugu Nape Mosses Nnauye akizunumza na wana Nzega. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizunumza na wananchi wakati alipowaambia hakuna haja ya kubadilisha mbunge mara kwa mara katika uchagzi kama mbuge aliyepo anafaa na anawatumikia wananchi vizuri kama vile Dk. Mbunge wa Jimbo la Nzega Khamis Kigwangala
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
September
(66)
- NAPE AHUDHURIA IBADA MAALUMU YA KUIOMBEA AMANI TAN...
- IANPHI KUFANYA MKUTANO WAKE WA 8 TANZANIA
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 26, 2013
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MARA
- JAMBO LEO, CAG AMEMRUKA VIPI NAPE?
- MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KATIBU MKUU RORYA
- CCM YAVUNJA REKODI RORYA
- RAIS OBAMA AIFAGILIA TANZANIA, AIMWAGIA SIFA LUKUKI
- CCM YAWA LULU NYAMONGO
- POLISI WATATU WAFARIKI, WENGINE WANANE KUJERUHIWA ...
- KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA SERENGETI
- ZIARA YA KATIBU MKUU WILAYA YA BUTIAMA
- DK. KHATIB AKUTANA NA KATIBU WA MAMBO YA NJE WA CH...
- RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU CHUO KIK...
- RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJ...
- KINANA: SITANII KATIKA SUALA LA WALIMU
- HAKIMU ACHOMWA KISU NA MLALAMIKAJI MAHAKAMANI, SHI...
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 20, 2013
- KINANA ATAKA WALIMU WATATULIWE KERO ZAO HARAKA
- DK. MNDOLWA: MIKAKATI INASUKWA KUBORESHA ZAIDI SHU...
- TANGAZO LA MKUTANO TAWI LA CCM WASHINGTON DC, MARY...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE BARIADI
- NAPE AWACHONGANISHA CHADEMA NA WAKULIMA WA PAMBA
- SEMINA YA BLOGGERS NA MITANADAO MINGINE YA JAMII W...
- MAGAZETINI LEO, SEPTEMBA 18, 2013
- KINANA AKOMAA NA MAWAZIRI
- TCRA YAWAPIGA SEMINA WAENDESHAJI BLOG NA MITANDAO ...
- CHADEMA YAWEWESEKA
- KINANA: MAWAZIRI SHUGHULIKIENI KERO ZA WANANCHI MO...
- MWIGULU AZINDUA TAWI CALIFORNIA MAREKANI
- KINANA : WATENDAJI FIKISHENI TAARIFA KWA WAKATI
- MTAYARISHAJI MKUU WA THE NKOROMO BLOG ANA KWA ANA ...
- KINANA: MRADI WA UMEME VIJIJINI KUINUFAISHA MASWA
- KAMANDA WA POLISI MSTAAFU MKOA WA TANGA AFARIKI DUNIA
- KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MASWA MKOA WA SIMIYU...
- KINANA AWATEMBELEA WALIOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYAN...
- WASHENZI WAZIDI KUTIA HOFU ZANZIBAR, WAMMWAGIA TIN...
- KINANA AITEKA SHINYANGA
- KINANA : NEEMA IMEWAJIA WAKAZI WA SHINYANGA
- ZIARA YA KINANA YALETA NEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA...
- KISHAPU WASEMA WAO NI CCM TU INATOSHA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ...
- KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA YA SHINYANGA V...
- SUNDERLAND YA UINGEREZA KUTANGAZA UTALII WA TANZAN...
- MAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU
- MSAFARA WA KATIBU MKUU WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA
- NAPE:CHADEMA WAMEPEWA MABILIONI TOKA NJE KUVURUGA ...
- DIWANI WA TLP AMSIFIA KINANA
- KINANA AWAPASHA WAWEKEZAJI
- KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA...
- CCM YAITEKA KAHAMA
- WANA CCM WALIVYOPENDEZA NZEGA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEG...
- KINANA, NAPE KUTINGA SHINYANGA KESHO SAA 3 ASUBUHI
- RAIS KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJINI M...
- ASSAD AKANA ALITUMIA SILAHA ZA KEMIKALI
- KUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII
- JAHAZI MODERN TAARAB ILIVYOFUNIKA DAR LIVE
- NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA IRINGA
- SHIGELA NA SIXTUS WAFANYA MAKABIDHIANO RASMI YA OF...
- KATIBU MKUU WA CCM TAIFA KUFANYA ZIARA KATIKA MIKO...
- KINANA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN
- KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA NDG. STEPHEN S. SHILATU
- SIXTUS ARIPOTI RASMI LEO MAKAO MAKUU YA UVCCM, DAR
- SIXTUS MAPUNDA: VIJANA WANAUELEWA ZAIDI MUUNGANO W...
- SIXTUS MAPUNDA APITISHWA KWA KISHINDO UVCCM
-
▼
September
(66)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.