MKurugenzi wa TCRA, Profesa John Nkoma akimkabishi cheti cha kuhitimu semina hiyo, Mmiliki na Mtayarishaji Mkuu wa theNkoromo Blog, Bashir Nkoromo, mwishoni mwa semina leo.

Cheti chenyewe cha Nkoromo ndicho hiki.
Mmiliki wa Habari Mseto Blogu, Francis Dande akipokea cheti chake
Othman Michuzi kutoka Michuzi Media, akipokea cheti cha kushiriki semina hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano TCRA Innocent Mungy.
Mwanadada huyu ambaye pia ni Blogger mahiri akipokea cheti chake
Sambaya kutoka Tanuru la Fikra akipokea cheti chake
Blogger Doto Kahidni akipokea cheti chake
Mwana Mtandao, Magnus Mahenge akipokea cheti chake
Mroki Mroki wa Father Kidevu Blogu akipokea cheti chake
Muhidin Sufiani wa Sufiani Mafoto akipokea cheti chake
Sufian akikifurahia cheti chake
Henry Mdimu maarufu kama Nzee la Nyeti, akipokea cheti chake
John Badi wa Daily Mitikasi Blog akipokea cheti chake
Mike wa Jamii Forums akipokea cheti chake
Blogger wakiwa katika picha ya pamoja na Mkurigenzi wa TCRA, Prof, John Nkoma na Mungy
Mablogger wakiwa katika picha ya pamoja na Prof Nkoma na Mungy mbeye ya jengo la TCRA
Timu ya Mablogger wanawake tu hii hapa