Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye ,Mbunge wa Jimbo la Swola ndugu Ahmed Salum na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakicheza na nyoka aina ya chatu wakati wa mapokezi katika kata ya Didia, Luhambo wilaya ya Shinyanga Vijijini.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wanachama wa chama cha Mapinduzi waliokuja kumpokea alipowasili Wilaya ya Shinyanga Vijijini.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Hamisi Mgeja akisalimia wakazi wa Luhambo Didia wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika wilaya ya Shinyanga Vijijini.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa kata ya Didia na kuwashukuru kwa mapokezi mazuri waliyowapa.