Mhe. Mwigulu Nchemba akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa tawi la CCM Oakland California kulikofanyika Jumamosi Sept 14, 2013 na kuhudhuriwa na watu mbalimbali wakiwemo wakereketwa wa chama cha mapindunzi California.
Mwanachama mpya akipokea kadi yake.
Wanachama wa CCM California katika picha ya pamoja na aliyekuwa mwenyekiti wa CCM DMV Bi. Lovenes Mamuya.
WanaCCM Califonia wakiwa katika maandalizi ya ufunguzi wa Tawi
Baadhi ya wanachama wa Tawi California wakiteta jambo huku vicheko vikitawala.
Wananchama wa CCM California katika picha ya pamoja na Loveness Mamuya.
Ni Ukodak moment.
Mhe. Mwigulu Nchemba katika picha ya pamoja na wanachama wa CCM California mara baada ya kukata utepe na kufungua tawi rasmi.
Baadhi ya wanachama wakiongea kwa furaha baada ya Mhe. Mwigulu Nchemba kufungua tawi
Baadhi ya wanachama wa tawi California wakipata picha na Mhe. Mwigulu Nchemba.
Juu na chini ni Wananchama wa tawi wakipata maakuli