Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia waimbaji wa kwaya mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Nyashimo Wilayani Busega katika mkoa wa Simiyu, Ndugu Abdulrahman Kinana amemaliza ziara yake kwenye mkoa huo ambapo amekagua miradi ya maendeleo na kuzungumza na wenyeviti wa mashina pamoja na wanachama wa CCM ili kuimarisha chama na kukagua utekelezaji wa ilani ya Chama cha Mapinduzi katika maeneo mbalimbali moani humo, Kinana anaaza Ziara ya siku sita katika mkoa wa Mara. Akihutubia katika mkutano wa hadhara leo uliofanyika mjini Lamadi Busega Kinana ametoa miezi sita kwa Waziri wa Elimu na Mfunzo ya Ufundi Dr. Shukuru Kawambwa, Waziri wa Serikali za Mitaa TAMISEMI Hawa Ghasiapamoja na watendaji wengine wa Serikali katika sekta ya Elimu kuhakikisha wanashughulikia kero za walimu hasa katika malipo yao mbalimbali ili kumaliza tatizo la malimbikizo hayo, Kinana amesema kama watendaji hao wa serikali hawatamaliza tatizo hilo atawashughulikia kwa kuwashitaki kwa wabunge wa CCM ili wawawajibishe kwa kukiuka agizo la Rais Dr.Jakaya Kikwete ambaye aliagiza watendaji hao kumaliza matatizo ya walimu, Katika picha katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Besega Ndugu Paul Mzindakaya na aliyenyanyua mkono kushoto ni Mbunge wa jimbo la Busega Dr. Titus Kamani. (PICHA NA KUKOSI KAZI CHA FULLSHANGWE-LAMADI SIMIYU) Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana na Katibu wa NEC Itikadi Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye wakifurahia ngoma za akina mama walipowasili katika wilaya ya Busega mkoani Simiyu. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa mwenyekiti wa kikundi cha waendesha bodaboda wa Nyashimo Gasper Mabula Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimnawisha mikono Mwenyekiti wa shina Sina namba 1 kijiji cha cha Nyamatembe Bi. Sophia Kayenze tayari kwa kupata kifungua kinywa cha chai kwa Michembe . Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Busega Ndugu Paul Mzindakaya katika kijiji cha Nyamatembe. Nape Nnauye katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi akizungumza na wananyamitembe mara baada ya kuwasili kijijini hapo wakitokea Bariadi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akisimikwa kama mshauri mkuu wa Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Dr. Jakaya Kikwete katika kijiji cha Mwamanyiri mahari ambapo Baba wa Taifa Mwalimu Julius K. nyerere alipumzika na kulala akitokea Butiama kwenda Mwanza wakati akiunga mkono Azimio la Arusha mwaka 1967. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kujenga ofisi ya Chama cha Mapinduzi kata ya Mwamanyiri huku Nape Nnauye akimsaidia kumpati tofari. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti katika kata ya kabita wilayani Besega. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akikabidhi pikipiki kwa mwenyekiti wa kikundi cha waendesha Lamadi Busega bodaboda Doto Paulo .Mkuu wa mkoa wa Simiyu Ndugu Pascal Mabiti kulia akizungumza jambo na Mkuu wa wilaya ya Besega Paul Mzindakaya kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Lamadi Busega.Kikundi cha ngoma cha lamadi Busega kikitumbuiza katika mkutano huo.Wananchi waliojitokeza katika mkutano huo wa hadhara wakifuatilia matukio ya mkutano huo.Katibu wa NEC Itikadi, Siasa na Uenezi Ndugu Nape Nnauye akuhutubia wananchi katika mkutano huo wa hadhara mjini Lamadi wilayani Busega. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika mji wa Lamadi Simiyu.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
September
(66)
- NAPE AHUDHURIA IBADA MAALUMU YA KUIOMBEA AMANI TAN...
- IANPHI KUFANYA MKUTANO WAKE WA 8 TANZANIA
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 26, 2013
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MARA
- JAMBO LEO, CAG AMEMRUKA VIPI NAPE?
- MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KATIBU MKUU RORYA
- CCM YAVUNJA REKODI RORYA
- RAIS OBAMA AIFAGILIA TANZANIA, AIMWAGIA SIFA LUKUKI
- CCM YAWA LULU NYAMONGO
- POLISI WATATU WAFARIKI, WENGINE WANANE KUJERUHIWA ...
- KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA SERENGETI
- ZIARA YA KATIBU MKUU WILAYA YA BUTIAMA
- DK. KHATIB AKUTANA NA KATIBU WA MAMBO YA NJE WA CH...
- RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU CHUO KIK...
- RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJ...
- KINANA: SITANII KATIKA SUALA LA WALIMU
- HAKIMU ACHOMWA KISU NA MLALAMIKAJI MAHAKAMANI, SHI...
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 20, 2013
- KINANA ATAKA WALIMU WATATULIWE KERO ZAO HARAKA
- DK. MNDOLWA: MIKAKATI INASUKWA KUBORESHA ZAIDI SHU...
- TANGAZO LA MKUTANO TAWI LA CCM WASHINGTON DC, MARY...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE BARIADI
- NAPE AWACHONGANISHA CHADEMA NA WAKULIMA WA PAMBA
- SEMINA YA BLOGGERS NA MITANADAO MINGINE YA JAMII W...
- MAGAZETINI LEO, SEPTEMBA 18, 2013
- KINANA AKOMAA NA MAWAZIRI
- TCRA YAWAPIGA SEMINA WAENDESHAJI BLOG NA MITANDAO ...
- CHADEMA YAWEWESEKA
- KINANA: MAWAZIRI SHUGHULIKIENI KERO ZA WANANCHI MO...
- MWIGULU AZINDUA TAWI CALIFORNIA MAREKANI
- KINANA : WATENDAJI FIKISHENI TAARIFA KWA WAKATI
- MTAYARISHAJI MKUU WA THE NKOROMO BLOG ANA KWA ANA ...
- KINANA: MRADI WA UMEME VIJIJINI KUINUFAISHA MASWA
- KAMANDA WA POLISI MSTAAFU MKOA WA TANGA AFARIKI DUNIA
- KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MASWA MKOA WA SIMIYU...
- KINANA AWATEMBELEA WALIOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYAN...
- WASHENZI WAZIDI KUTIA HOFU ZANZIBAR, WAMMWAGIA TIN...
- KINANA AITEKA SHINYANGA
- KINANA : NEEMA IMEWAJIA WAKAZI WA SHINYANGA
- ZIARA YA KINANA YALETA NEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA...
- KISHAPU WASEMA WAO NI CCM TU INATOSHA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ...
- KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA YA SHINYANGA V...
- SUNDERLAND YA UINGEREZA KUTANGAZA UTALII WA TANZAN...
- MAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU
- MSAFARA WA KATIBU MKUU WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA
- NAPE:CHADEMA WAMEPEWA MABILIONI TOKA NJE KUVURUGA ...
- DIWANI WA TLP AMSIFIA KINANA
- KINANA AWAPASHA WAWEKEZAJI
- KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA...
- CCM YAITEKA KAHAMA
- WANA CCM WALIVYOPENDEZA NZEGA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEG...
- KINANA, NAPE KUTINGA SHINYANGA KESHO SAA 3 ASUBUHI
- RAIS KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJINI M...
- ASSAD AKANA ALITUMIA SILAHA ZA KEMIKALI
- KUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII
- JAHAZI MODERN TAARAB ILIVYOFUNIKA DAR LIVE
- NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA IRINGA
- SHIGELA NA SIXTUS WAFANYA MAKABIDHIANO RASMI YA OF...
- KATIBU MKUU WA CCM TAIFA KUFANYA ZIARA KATIKA MIKO...
- KINANA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN
- KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA NDG. STEPHEN S. SHILATU
- SIXTUS ARIPOTI RASMI LEO MAKAO MAKUU YA UVCCM, DAR
- SIXTUS MAPUNDA: VIJANA WANAUELEWA ZAIDI MUUNGANO W...
- SIXTUS MAPUNDA APITISHWA KWA KISHINDO UVCCM
-
▼
September
(66)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.