Google PlusRSS FeedEmail

RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJINI WASHINGTON DC SEPTEMBA 19.

   Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani. Picha na Swahilitv
Picha na Swahilitv
 Mh. Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa akielekeza jambo katika kikao chake na uongozi wa CCM DMV. Kikao hiki kimefanyika leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani. Picha na Swahilitv
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimsalimia Bwana George Sebo mwenyekiti wa  CCM DMV.Picha na Swahilitv
Mhe. Rais Kikwete akiwa na Bwana DMK Mkurugenzi wa MMK MEDIA GROUP: Swahili TV, Swahili Radio na Swahilitv Blog. Picha zote na Swahili TV.



This entry was posted in

Leave a Reply