Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali pamoja na wananchi kwa ajili ya ujenzi wa tanki la maji katika kata ya Kagongwa Wilayani Kahama wakati alipoanza rasmi ziara yake ya siku nne katika mkoa wa shinyanga leo na kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na za kukiimarisha chama katika mkoa huo, Katika picha wanaoshuhudia kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi na katikati ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Khamis Mngeja.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-KAHAMA Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kufyatua matofali kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi naye akishiriki kufyatua matofali kwa ajili ya ujenzi wa tanki hilo la maji katika kata ya Kagongwa Hili niyo tanki linalojengwa katika kata ya Kagogwa wilayani Kahama Wananchi wa mjini Kahama wakiwa katika mkutano wa hadhara mjini humo. Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi akisoma ujumbe katika mabango yaliyoandikwa na wana CCM kuelezea kero zao Nape amepokea kero ya wanaCCM hao na kuahidi kulishughulikia mara moja. Umati uliojitokeza katika mkutano wa hadhara mjini Kahama. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wananchi katika mkutano wa hadhara mjini Kahama. Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Shinyanga Ndugu Khamis Mngeja akiwahutubia wananchi katika mkutano huo. Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi akiwahutubia wananchi katika mkutano wa hadhara uliofanyika mjini Kahama leo. Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika kata ya Kagongwa wilayani Kahama Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikbidhi kadi kwa mwanachama mpya wa CCM Ndeke Mdaki katika kata ya Isaka Wilayani Kahama. Ndugu Ezekiel Maige mbunge wa Msalala akiwahutubia wananchi katika Kata ya Isaka Wilayani Kahama. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akikata utepe kuashiria uzinduzi wa awamu ya kwanza ya ujenzi wa jengo la Kituo cha afya katika kata ya Mwendakulima kijiji cha Mwendakulima iliyojengwa na kampuni ya Kuchimba madini ya mgodi wa Buzwagi wilayani Kahama , kulia ni Mwakilishi wa Mkuu wa mgodi wa Buzwagi Bw. Richard Otendo wa pili kutoka kulia. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiongozwa na mwakilishi wa mkuu wa mgodi wa Buzwagi Richard Otendo wakati alipotembelea jengo la kituo cha afya cha Mwendakulima lililojengwa na mgodi huo. Hili ndilo jengo lenyewe. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza na wananc hi katika kata ya Mwendakulima mara baada ya kutembelea ujenzi wa jengo la kituo cha afya cha kata hiyo kulia ni Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi na katikati ni Diwani wa Kata hiyo kutoka TLP Bw. Ntabi Majabi. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akipanda mti katika kituo cha afya cha Mwendakulima. Nape Nnauye Katibu wa halmashauri kuu ya CCM (NEC) Itikadi, Siasa na Uenezi naye akishiriki kupanda mti katika kituo cha afya cha Mwendakulima. WanaCCM wakiwa katika mkutano wa Ndani mjini Kahama. Kikundi cha Sarakasi kikionyesha uwezo wao katika sarakasi katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Sinjita mjini Kahama.
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
September
(66)
- NAPE AHUDHURIA IBADA MAALUMU YA KUIOMBEA AMANI TAN...
- IANPHI KUFANYA MKUTANO WAKE WA 8 TANZANIA
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 26, 2013
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MARA
- JAMBO LEO, CAG AMEMRUKA VIPI NAPE?
- MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KATIBU MKUU RORYA
- CCM YAVUNJA REKODI RORYA
- RAIS OBAMA AIFAGILIA TANZANIA, AIMWAGIA SIFA LUKUKI
- CCM YAWA LULU NYAMONGO
- POLISI WATATU WAFARIKI, WENGINE WANANE KUJERUHIWA ...
- KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA SERENGETI
- ZIARA YA KATIBU MKUU WILAYA YA BUTIAMA
- DK. KHATIB AKUTANA NA KATIBU WA MAMBO YA NJE WA CH...
- RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU CHUO KIK...
- RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJ...
- KINANA: SITANII KATIKA SUALA LA WALIMU
- HAKIMU ACHOMWA KISU NA MLALAMIKAJI MAHAKAMANI, SHI...
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 20, 2013
- KINANA ATAKA WALIMU WATATULIWE KERO ZAO HARAKA
- DK. MNDOLWA: MIKAKATI INASUKWA KUBORESHA ZAIDI SHU...
- TANGAZO LA MKUTANO TAWI LA CCM WASHINGTON DC, MARY...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE BARIADI
- NAPE AWACHONGANISHA CHADEMA NA WAKULIMA WA PAMBA
- SEMINA YA BLOGGERS NA MITANADAO MINGINE YA JAMII W...
- MAGAZETINI LEO, SEPTEMBA 18, 2013
- KINANA AKOMAA NA MAWAZIRI
- TCRA YAWAPIGA SEMINA WAENDESHAJI BLOG NA MITANDAO ...
- CHADEMA YAWEWESEKA
- KINANA: MAWAZIRI SHUGHULIKIENI KERO ZA WANANCHI MO...
- MWIGULU AZINDUA TAWI CALIFORNIA MAREKANI
- KINANA : WATENDAJI FIKISHENI TAARIFA KWA WAKATI
- MTAYARISHAJI MKUU WA THE NKOROMO BLOG ANA KWA ANA ...
- KINANA: MRADI WA UMEME VIJIJINI KUINUFAISHA MASWA
- KAMANDA WA POLISI MSTAAFU MKOA WA TANGA AFARIKI DUNIA
- KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MASWA MKOA WA SIMIYU...
- KINANA AWATEMBELEA WALIOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYAN...
- WASHENZI WAZIDI KUTIA HOFU ZANZIBAR, WAMMWAGIA TIN...
- KINANA AITEKA SHINYANGA
- KINANA : NEEMA IMEWAJIA WAKAZI WA SHINYANGA
- ZIARA YA KINANA YALETA NEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA...
- KISHAPU WASEMA WAO NI CCM TU INATOSHA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ...
- KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA YA SHINYANGA V...
- SUNDERLAND YA UINGEREZA KUTANGAZA UTALII WA TANZAN...
- MAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU
- MSAFARA WA KATIBU MKUU WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA
- NAPE:CHADEMA WAMEPEWA MABILIONI TOKA NJE KUVURUGA ...
- DIWANI WA TLP AMSIFIA KINANA
- KINANA AWAPASHA WAWEKEZAJI
- KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA...
- CCM YAITEKA KAHAMA
- WANA CCM WALIVYOPENDEZA NZEGA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEG...
- KINANA, NAPE KUTINGA SHINYANGA KESHO SAA 3 ASUBUHI
- RAIS KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJINI M...
- ASSAD AKANA ALITUMIA SILAHA ZA KEMIKALI
- KUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII
- JAHAZI MODERN TAARAB ILIVYOFUNIKA DAR LIVE
- NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA IRINGA
- SHIGELA NA SIXTUS WAFANYA MAKABIDHIANO RASMI YA OF...
- KATIBU MKUU WA CCM TAIFA KUFANYA ZIARA KATIKA MIKO...
- KINANA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN
- KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA NDG. STEPHEN S. SHILATU
- SIXTUS ARIPOTI RASMI LEO MAKAO MAKUU YA UVCCM, DAR
- SIXTUS MAPUNDA: VIJANA WANAUELEWA ZAIDI MUUNGANO W...
- SIXTUS MAPUNDA APITISHWA KWA KISHINDO UVCCM
-
▼
September
(66)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.