Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe kuelekea ukumbini kutunukiwa Shahada Ijumaa Septemba 20, 2013
Nyimbo za taifa zikipigwa wakati wa sherehe za kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete aki Shahada ya Uzamivu katika Chuo Kikuu Guelph jimboni Ontario, Canada, Ijumaa Septemba 20, 2013
Watu walioshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario, Dkt Maureen Mancuso , Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akitunukiwa Shahada ya Uzamivu na Provost na Makamu wa Rais wa Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario, Dkt Maureen Mancuso , Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akishangiliwa katika Chuo Kikuu Guelph baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013 Ijumaa Septemba 20, 2013.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia Chuo Kikuu Guelph baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013 Ijumaa Septemba 20, 2013
Umati ulioshuhudia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Wakuu wa Chuo Kikuu Guelph pamoja na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013 Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mheshimiwa Dkt. Shukuru Kawambwa (kulia) na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe Bernard Membe baada ya kutunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu cha Guelph jimboni Ontario Ijumaa Septemba 20, 2013
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
-
▼
2013
(633)
-
▼
September
(66)
- NAPE AHUDHURIA IBADA MAALUMU YA KUIOMBEA AMANI TAN...
- IANPHI KUFANYA MKUTANO WAKE WA 8 TANZANIA
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 26, 2013
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE MKOA WA MARA
- JAMBO LEO, CAG AMEMRUKA VIPI NAPE?
- MATUKIO MBALI MBALI YA ZIARA YA KATIBU MKUU RORYA
- CCM YAVUNJA REKODI RORYA
- RAIS OBAMA AIFAGILIA TANZANIA, AIMWAGIA SIFA LUKUKI
- CCM YAWA LULU NYAMONGO
- POLISI WATATU WAFARIKI, WENGINE WANANE KUJERUHIWA ...
- KINANA ASHUHUDIA MAABARA INAYOTEMBEA SERENGETI
- ZIARA YA KATIBU MKUU WILAYA YA BUTIAMA
- DK. KHATIB AKUTANA NA KATIBU WA MAMBO YA NJE WA CH...
- RAIS KIKWETE ATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMIVU CHUO KIK...
- RAIS KIKWETE ALIPOKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJ...
- KINANA: SITANII KATIKA SUALA LA WALIMU
- HAKIMU ACHOMWA KISU NA MLALAMIKAJI MAHAKAMANI, SHI...
- BAADHI YA MAGAZETI LEO SEPTEMBA 20, 2013
- KINANA ATAKA WALIMU WATATULIWE KERO ZAO HARAKA
- DK. MNDOLWA: MIKAKATI INASUKWA KUBORESHA ZAIDI SHU...
- TANGAZO LA MKUTANO TAWI LA CCM WASHINGTON DC, MARY...
- KINANA AMALIZA ZIARA YAKE BARIADI
- NAPE AWACHONGANISHA CHADEMA NA WAKULIMA WA PAMBA
- SEMINA YA BLOGGERS NA MITANADAO MINGINE YA JAMII W...
- MAGAZETINI LEO, SEPTEMBA 18, 2013
- KINANA AKOMAA NA MAWAZIRI
- TCRA YAWAPIGA SEMINA WAENDESHAJI BLOG NA MITANDAO ...
- CHADEMA YAWEWESEKA
- KINANA: MAWAZIRI SHUGHULIKIENI KERO ZA WANANCHI MO...
- MWIGULU AZINDUA TAWI CALIFORNIA MAREKANI
- KINANA : WATENDAJI FIKISHENI TAARIFA KWA WAKATI
- MTAYARISHAJI MKUU WA THE NKOROMO BLOG ANA KWA ANA ...
- KINANA: MRADI WA UMEME VIJIJINI KUINUFAISHA MASWA
- KAMANDA WA POLISI MSTAAFU MKOA WA TANGA AFARIKI DUNIA
- KINANA AANZA ZIARA WILAYA YA MASWA MKOA WA SIMIYU...
- KINANA AWATEMBELEA WALIOUNGULIWA NA NYUMBA SHINYAN...
- WASHENZI WAZIDI KUTIA HOFU ZANZIBAR, WAMMWAGIA TIN...
- KINANA AITEKA SHINYANGA
- KINANA : NEEMA IMEWAJIA WAKAZI WA SHINYANGA
- ZIARA YA KINANA YALETA NEEMA YA MAJI KWA WAKAZI WA...
- KISHAPU WASEMA WAO NI CCM TU INATOSHA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AENDELEA NA ...
- KINANA AHITIMISHA ZIARA YAKE WILAYA YA SHINYANGA V...
- SUNDERLAND YA UINGEREZA KUTANGAZA UTALII WA TANZAN...
- MAVUNO MAKUBWA YA ZABIBU SHAMBANI KWA WAZIRI MKUU
- MSAFARA WA KATIBU MKUU WAWASILI WILAYA YA SHINYANGA
- NAPE:CHADEMA WAMEPEWA MABILIONI TOKA NJE KUVURUGA ...
- DIWANI WA TLP AMSIFIA KINANA
- KINANA AWAPASHA WAWEKEZAJI
- KATIBU MKUU WA CCM NDUGU ABDULRAHMAN KINANA AKAGUA...
- CCM YAITEKA KAHAMA
- WANA CCM WALIVYOPENDEZA NZEGA
- KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AWASILI NZEG...
- KINANA, NAPE KUTINGA SHINYANGA KESHO SAA 3 ASUBUHI
- RAIS KIKWETE AHUTUBIA MAELFU YA WAKAZI WA JIJINI M...
- ASSAD AKANA ALITUMIA SILAHA ZA KEMIKALI
- KUMI MBARONI KWA WIZI WA KAZI ZA WASANII
- JAHAZI MODERN TAARAB ILIVYOFUNIKA DAR LIVE
- NAPE AZINDUA MBIO ZA BENDERA IRINGA
- SHIGELA NA SIXTUS WAFANYA MAKABIDHIANO RASMI YA OF...
- KATIBU MKUU WA CCM TAIFA KUFANYA ZIARA KATIKA MIKO...
- KINANA AKUTANA NA BALOZI WA SUDAN
- KUMBUKUMBU YA MIAKA 10 YA NDG. STEPHEN S. SHILATU
- SIXTUS ARIPOTI RASMI LEO MAKAO MAKUU YA UVCCM, DAR
- SIXTUS MAPUNDA: VIJANA WANAUELEWA ZAIDI MUUNGANO W...
- SIXTUS MAPUNDA APITISHWA KWA KISHINDO UVCCM
-
▼
September
(66)
LOVE LINKS
Powered by Blogger.