Google PlusRSS FeedEmail
5 
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM Bw. Martin Shigela akishiriki katika kupalilia shamba la Karanga katika kijiji cha Nkungwe Tarafa ya Mabembe Wilaya ya Kigoma Vijijini wakati alipotembelea na kujionea shughuli mbalimbali na kukagua miradi inayotekelezwa na wananchi kwa pamoja na Serikali jana.
Sekretarieti ya CCM ikiongozwa na katibu mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana iko mkoani Kigoma kwa ajili ya kuangalia utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi na sherehe za miaka 36 ya chama hicho zinazotarajiwa kufanyika Februari 3 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo, kulia ni Bi Fatma mmiliki wa na kushoto ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini.
3 
Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akisalimiana na wananchi wa kijiji cha Nkungwe wakati alipotembelea katika kijiji hicho jana
4Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akikabidhiwa zawadi ya mihogo na Bi Asha Ibrahim mara baada ya kutembelea shamba lake jana, .Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha muhogo bra katika mkoa wa Kigoma.
8Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiongozana na Bw.Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini mbele yake wakati akikagua shughuli za ukulima wa kisasa katika kijiji cha Nkungwe Kigoma Vijijini, Kijiji hicho cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha muhogo bra katika mkoa wa Kigoma.
9Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimsaidia Bi. Asha Ibrahim kufukia mbegu ya Viazi, huku viongozi mbalimbali wa CCM wilaya ya Kigoma Vijijini wakishuhudia tukio hilo. 7 Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimkabidhi zawadi ya shilingi elfu 10,000 mtoto Rehema huku mama yake akimsaidia wakati alipotembelea na kujionea shughuli za kilimo katika kijiji cha Nkungwe jana
11 Viongozi mbalimbali wakikagua kivuko cha Mto Ruchi katika kijiji cha Nkungwe jana.
12Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akivuka katika kivuko cha Mto Ruchi kwa kutumia Baiskeli huku akiwa ameonozana na viongozi mbalimbali wa CCM wilaya ya Kigoma Vijijini pamoja na watendajiwa kijiji hicho jana inaelezwa kwamba watu wengi walipotea maisha kwa kuliwa na Mamba kabla ya kujengwa kivuko hiki.
13Katibu Mkuu wa Umoja wa vijana CCM UVCCM Martin Shigela akimenya muhogo ili kutafuna kidogo mara baada ya kununua kwa mmoja wa wakulima Kijiji cha Nkungwe ndicho kinachoongoza kwa kilimo cha Muhogo mkoani Kigoma
15Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akiagiza jambo kwa Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kigoma Bw Peter Msanjila wakati alipotembelea kata ya Mwanduga jana kulia ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini
16Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akizungumza na wanafunzi wa shule ya msingi ya Kabanda katika kijiji cha Chabwimba jana
18 Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akisalimiana na wananchi mara baada ya kuwasili katika Kata ya Mabembe.
19Wananchi wa kijiji cha Mabembe wakimsikiliza mwenyekiti wa UVCCM katika Kata ya Mabembe kwenye mkutano wa ndani
20Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM UVCCM Martin Shigela akicheza na msanii chipukizi wa kijiji cha Mabembe ambaye ni mlemavu wakati alipotembelea na katika Kata ya Mabembe
23 Wananchi wakiwa wamejitokeza kwa wingi katika kata ya Mwanduga Kigoma vijijini jana
24Mjumbe wa NEC CCM kupitia Wilaya ya Uvinza Asha Baraka akiwa katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika Kata ya Mwanduga Kigoma jana kulia ni Khamis Bitese Mwenyekiti wa CCM Kigoma Vijijini na katikati ni Peter Msanjila Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Kigoma.
25Martin Shigela Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa akihutubia mkutano wa hadhara uliofanyika jana kwenye kata ya Mwanduga Wilaya ya Kigoma vijijini
26Matin Shigela Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa akipata maeleo kutoka kwa Khamis Bitese Mwenyekitiwa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini wakati alipotembele na kukagua ujenzi wa madarasa katika shule ya msingi ya Kabanda.
27Martin Shigela Katibu Mkuu wa UVCCM Taifa akipata maeleo kutoka kwa Khamis Bitese Mwenyekitiwa CCM Wilaya ya Kigoma Vijijini wakati alipotembele na kukagua ujenzi wa numba za walimu katika shule ya msingi ya Kabanda.
2 Huu ndiyo mto Ruchi unaotenganisha kijiji cha Nkungwe na mashamba ya wanakijiji hao uliosababisha mauaji ya wananchi kadhaa kutoka na kuliwa na Mamba kabla ya kujengwa kwa kivuko hicho.

KATIBU MKUU WA UVCCM MARTIN SHIGELA ASHIRIKI SHUGHULI ZA KILIMO NA KUKAGUA MIRADI KIGOMA VIJIJINI

  Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana CCM, UVCCM Bw. Martin Shigela akishiriki katika kupalilia shamba la Karanga katika kijiji cha Nkungwe Taraf... [Read More]

1. Kinana akipata maelezo  kwa Dc Kakonko, Peter Toima wakati akikagua mradi wa ujenzi nyumba za zahanati ya Kata ya Kasanda wilayani humo. Kulia ni diwani wa Kata hiyo Dickson Barutwa. 
Diwani wa kata ya Kasanda, Kakonko mkoani Kigoma, Dickson Barutwa (CHADEMA), akimpa malezo Kinana kuhusu ujenzi wa nyumba za zahanati ya kata hiyo unaofanywa na serikali
Kaimu Mganga Mkuu wa Kibondo,  Dk. Laurean Kanaganwa(kulia) akitoa maelezo ya zahanati ya kata ya Kasanda. Wapili kulia ni diwani wa Kasanda-Chadema, Dickson Barutwa 
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na mabalozi wa mashina na wazee katika Kata ya Kasanda, Kakonko mkoa wa Kigoma
 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkabidhi kadi ya CCM mwanachama mpya, Elizabeth Gwimo, alipopokwa wanachama wapya 45, katika mkutano uliofanyika Kata ya Kasanda, Kakonko Kigoma
 Wanachama wapya wakila kiapo, baada ya kukabidhiwa kadi zao na Kinana (kushoto), katika kata ya Kasanda, Kakonko Kigoma.
Mjumbe wa Shina, Agnes Lukwavi akitoa maoni yake ya kuboresha C CM, wakati Kinana alipozungumza na mabalozi na wazee wa Kata ya Kasanda, wilayani Kakonko, Kigoma

KINANA ATINGA KAKONKO MKOANI KIGOMA

1. Kinana akipata maelezo  kwa Dc Kakonko, Peter Toima wakati akikagua mradi wa ujenzi nyumba za zahanati ya Kata ya Kasanda wilayani humo. ... [Read More]

NAPE AONGOZA WAZAZI NA WANAFUNZI KUJENGA MADARASA

Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye akishiriki kupiga lipu katika Shule ya Sekondari  ya Nyansha . Katibu wa NEC akishiriki  kujeng... [Read More]

CCM YAITEKA KASULU

Wananchi wa  Kijiji cha  Karunga kata ya Heru Juu,Kasulu wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kumpokea  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndu... [Read More]

 Meneja mradi wa ujenzi daraja la Malagarasi wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung Sik You, (wapili kushoto) akiwatembeza Kinana (watatu kushoto), Migiro (wanne) na Nape (wapili kulia) kwenye mradi wa ujenzi wa dajara la Malagarasi wilayani Uvinza mkoani Kigoma Januari 28, 2013. Daraja hilo linatarajiwa kukamilika miezi mitatu ijayo. Kinana na ujumbe wake wapo mkoani Kigoma kwa ajili ya kushirikji sherehe za maadhimisho ya miaka 36 ya CCM, zitakazofanyika Februari 3, 2013 mkoani.
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kushoto) akipata maenezo ya ujenzi wa daraja la Malagarasi kutoka kwa Meneja mradi wa ujenzi daraja hilo wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung Sik You.
Kinana akizungumza na mwananchi wa Kigoma Amani Mahmoud wakati akikagua ujenzi wa daraja la Malagarasi. kuhsoto ni  Meneja mradi wa ujenzi daraja la Malagarasi wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung You.
  Nape akishiriki kupiga ngoma ya kuongoza matembezi kuingia mji mdogo wa Nguruka. Pembeni yake ni Asha Baraka. Matembezi hayo yaliongozwa na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana
 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk, Asha Rose Migiro na Asha Baraka wakiwa mstari wa mbele kwenye matembezi kuingia mji mdogo wa Nguruka Wilaya ya Uvinza mkoani Kigoma kwenye mkutano wa hadhara wa CCM
 CCM SAFI: Wananchi wa Nguruka wakisema wakati msafara wa Kinana wa ujumbe wake ukipita kwa matembezi kuingia katika mji huo mdogo kufanya mkutano wa hadhara
 Wananchi husuasan kina mama wakishangilia msafara wa Kinana upoingia Nguruka
Mwanafunzi wa shule ya msingi Nguruka (kulia) akimshangilia Nape akishiriki kupiga ngoma iliyoongoza matembezi kutoka barabara kuu kuingia mjini mdogo wa Nguruka kwa ajili ya mkutano wa CCM, Matembezi hayo yaliongozwa na Kinana
 Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akisalimia wananchi wa Nguruka baada ya msafara wake kuwasili, Januari 28, 2013, kwa ajili ya mkuytano wa hadhara wa CCM
 Dk. Asha Rose Migiro akishangiliwa na mkazi wa Nguruka,  Asha Kipenda wakati wa mapokezi ya msafara wa Kinana na ujumbe wake
 Dokii akitumbuiza kwenye mkutano wa CCM uliofanyika Nguruka, Januari 28, 2013 ambao ulihutubiwa na Kinana

 Katibu wa NEC, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akihutubia mkutano wa hadhara wa Nguruka, wilayani Uvinza mkoani Kigoma
 Katibu Mkuu wa UVCCM, Martin Shigela akihutubia mkutano huo wa Nguruka mkoani Kigoma
 Kinana akihutubia mkutano wa hadhara katika mji mdogo wa Nguruka
 Mamia ya wananchi wakimsilikiza Kinana kwenye mkutano huo
 Mkazi wa Nguruka akimsikiliza kwa makini Kinana kwenye mkutano huo huku akiwa amepozi kwenye baiskeli yake
 Kinana akiwaaga wananchi wa Nguruka baada ya mkutano huo. Pamoja naye ni Dk. Asha-Rose Migiro. Baadaye Kinana na ujumbe wake alienda kwenye mkutano mkubwa mwingine uliofanyika mji wa Uvinza. PICHA ZOTE NA BASHIR NKOROMO

KINANA NA UJUMBE WAKE WAKAGUA UJENZI DARAJA LA MALAGARASI KIGOMA

 Meneja mradi wa ujenzi daraja la Malagarasi wa Kampuni ya Korea ya Hanil, Jung Sik You, (wapili kushoto) akiwatembeza Kinana (watatu kushot... [Read More]