Google PlusRSS FeedEmail

CCM YAITEKA KASULU

Wananchi wa  Kijiji cha  Karunga kata ya Heru Juu,Kasulu wakiwa na nyuso za furaha wakati wa kumpokea  Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Ndugu Nape Nnauye.

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi ,Ndugu Nape Nnauye akipokelewa na Mjumbe wa NEC wilaya ya Kasulu,Daniel Nswanzigwanko pamoja na viongozi wengine wa chama wakati akiwasili kijiji cha Karunga,kata ya Heru juu.


Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwasalimu wakazi wa Kjiji cha Karunga,kata ya Heru Juu kabla ya kwenda Kasulu mjini ambako alifanya mkutano mkubwa wa hadhara.



Mkuu wa Wilaya ya Kasulu Ndugu Daniel Makanga akiwaeleza wananchi hatua zilizochukuliwa kuboresha ulinzi na usalama wa eneo hilo,na pia kueleza lini kutapatikana maji safi na salama kwa wananchi wa eneo hilo.

Mjumbe wa NEC Wilaya ya Kasulu,Daniel Nswanzigwanko akihutubia wananchi wa Kasulu mjini tarehe 29/1/2013

Band ya Vijana wa CCM Kasulu mjini ikitumbuiza wakati wa mkutano wa hadhara .

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akipokea baadhi ya kadi za wanachama wa chama pinzani walioamua kurudi  CCM

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi akihutubia wananchi wa Kasulu mjini ,Katibu wa NEC aliwaambia wananchi kuwa muda wa watendaji wa serikali za viji kujifanya muungu watu umekwisha na pia maendeleo yanakwamishwa sana na wapinzani maana kila jambo jema wana pinga.

This entry was posted in

Leave a Reply